Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Serikali ya Tanzania leo imepokea kutoka Serikali ya Madagascar msaada wa dawa zinazofubaza virusi vya corona ikiwa ni siku tano tu toka Rais Magufuli aseme ——-> “Nimewasiliana na Madagascar kuna dawa ya corona wameipata nitatuma Ndege hiyo dawa ije hapa” View attachment 1443810

Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya afya itueleze je kable haijatumika hapa nchini itatgibitushwa na TMDA kama inavyotakiwa kisheria. Wasiue watu wetu kwa dawa ambazo hazijathibitishwa hapa nchini.
 
GTs,
Kwa hakika nchi yetu kwa kipindi hiki imekuwa na maadui wengi, hasa wanaotuonea wivu kwa msimamo wa rais wetu, utajili wetu na amani tuliyonayo. Majirani zetu wanatamani tufe wengi.

Sasa nimeona zile dawa za madagascar, waziri anakunywa.

Je zimehakikiwa ni salama na vyombo vyetu vya husika????

Kama havijahakikiwa nashauri tusitumie.
Mbna bdo kavaa barakoa Mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na janga hili la covid-19.
Hivi karibuni rais wetu kipenzi aliahidi kutuma chopa pande za Madagascar kwenda kuleta dawa inayoaminika kutibu Corona
Sasa leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii picha je ni kweli mzigo wa hizo dawa ndo huu umeshafika?
255714457999_status_dfae9de644cf4ced8b6a089a83092733.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂
Unamuita Profesa Kabudi kilaza?
Kua profesa hakuondoi upumbavu kichwani, sio tu kilaza maana ukilaza unatibika ni stupid yeye na aliyempanga, profesa mzima uprofesa wote anaweza pembeni anaamini ushenzi kama huu? Hawa maprofesa waliokaa wakakariri hadi wakapata PhD nimeanza kuhisi hizo research walizofanya waliibia sana kwa wengine au zilikua zile research za kijinga tu ukimaliza hata professor wak hataki kukuona anaona ulipoteza muda tu. He’s stupid 100%
 
Watanzania nnavyowajua wazee wa kuchangamkia fursa kesho utazikuta pale kariakoo wametengeneza copy ya hiyo Dawa

Sent From Galaxy S20 Ultra
Ukijichanganya tu. Yaani wakipewa chupa tu, contents watajiongeza.
 
Hiyo rangi yake kama muarobaini tu, wapwa sasa hivi wanakuchanganyia muarobaini ,ndimu na tangawizi kitu kwa hewa.
Lebo kuuuuubwa COVID ORGANIC From Madagascar.
 
Back
Top Bottom