Sema usemavyo mimi sipo na sitadhubutu kusema corona haipo, naogopa haswaTaga limejitokeza 😅😅
Tumewapoteza wapendwa wetu wengi sana na huu ugojwa sababu data zilikuwa zinafichwa na baadae watu waliokuwa wanakufa na huu ugojwa madaktali walitoa ripoti ya mengine yaliyokuwa yanaua
Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.
Sidhubutu kucomment chochote hapa Mungu tusaidie
Lissu Katoka huku Bongo kapimwa hana corona, timu ya Taifa ilipofika Turkey na Tunisia wamepimwa hawana corona na kila siku wanachangamana na watu mbali mbali, Kama corona ingekuwepo si wote hao wangeambukizwa?Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?...
Msio watanzania hii mada haiwahusu tafadhali...Tulivyojificha cha to tulienda kwenye matunguli pia
Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?Lissu Katoka huku Bongo kapimwa hana corona, timu ya Taifa ilipofika Turkey na Tunisia wamepimwa hawana corona na kila siku wanachangamana na watu mbali mbali, Kama corona ingekuwepo si wote hao wangeambukizwa?
Hapana mkuu! Watz kwenye suala la siasa wanajitanbua sana.We are a gift from GOD, sema tuu ndo hivyo tuna mawenge tunayumbishwa na siasa tu
Ukimwi utakuandama sana dada!Ewe Kuhani mkuu KAYAFA kwa uwezo wa kimungu ulionao tuondolee huyu ukimwi na umaskini.
Sasa ulitaka wawe walamba miguu wa shatani kama walivyo wa lisuAngalia waleta taarifa ni pros(walamba miguu wa "Mungu"), so utaelewa context yao
Daaaaaaaah, kweli akili ni nywele aisee.Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?
Lissu kagusana na watu wangapi alipokuwa hapa nchini?Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?
Hujajibu swali.Daaaaaaaah, kweli akili ni nywele aisee.