Sijawahi kupata corona mkuu ila watu wengi walikata moto katika iko kipindi.Kumbe kamanda uliugua corona? Pole sana aisee
Kama walikufa wengi, wewe ulifanyaje corona haijakuua?!Tumewapoteza wapendwa wetu wengi sana na huu ugojwa sababu data zilikuwa zinafichwa na baadae watu waliokuwa wanakufa na huu ugojwa madaktali walitoa ripoti ya mengine yaliyokuwa yanaua
Melo majina anayatoa wapi ?Mi nawakumbusha tu boss was Jf ametakiwa na hakimu hhuruma wa hapo kisutu aachie majina ya wale member so unapokoment kuwa makini hasa nyuzi kama hizi unaweza kwenda na maji
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Duh mbona una hasira sana? Sasa hutaki ukimwi uondoke? Na umasikini je hutaki?Ukimwi utakuandama sana dada!
Kayafa hakukutuma uwe ma.la.ya
Hivi nani ni sokwe hapo anaeongozwa au anaeongoza?Hahahaa..
nchi inayoongozwa na maviongozi masokwe ni vichekesho sana!
Kwenu wewe Corona ndio kipimo cha ubunadamu? [emoji2962][emoji2962]Labda ndo nchi pekee ambayo bado wananchi wake hawajawa binadamu kamili!!
Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?
Tangu ugonjwa uanze, sijawahi kuona wala kusikia ndugu, jirani au rafiki yeyote wa mbali na karibu ameugua au kufariki kwa Corona, na hiyo ni licha ya kutokuwa na lockdown wala zuio lolote hasa kwenye viwanja vya michezo nk. Kwa akili ya kawaida tu, unahisi jibu langu ni lipi juu ya swali lako?Hujajibu swali.
Wewe unakubali Tanzania hakuna mgonjwa wa Corona, hata mmoja?
Swali ulilojibu sijakuuliza, na nililokuuliza hujalijibu.Tangu ugonjwa uanze, sijawahi kuona wala kusikia ndugu, jirani au rafiki yeyote wa mbali na karibu ameugua au kufariki kwa Corona, na hiyo ni licha ya kutokuwa na lockdown wala zuio lolote hasa kwenye viwanja vya michezo nk. Kwa akili ya kawaida tu, unahisi jibu langu ni lipi juu ya swali lako?
ππππππππUtafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwanini watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya, Uganda wote kesi za corona zipo.
Wao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India
Tuendeleee kuomba Mungu
Tuendelee. Kujifukiza
Wakirudi na korona yao itaishia boda.Sio hvyo tu.timu ya taifa imeenda tunisia wachezaj wote waamepimwa hamna hata m1 mwenye korona
Wamewaita waandishiChadema wanasemaje hawajatoa tamko bado [emoji16][emoji23]
Baba yako angekua mmoja wa hao viongozi,ungeliweza kumuita sokwe?Hahahaa..
nchi inayoongozwa na maviongozi masokwe ni vichekesho sana!
Ficha ujinga wakoWe are the true Israelites