PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Overrated 😁? wee muhaya unachekesha sana, nimekaa sana US sijawahi kuona barabara ya vumbi,umeme kukatika wala maji,ukiona mtu kafeli US ni uzembe,madawa au bahati mbaya sometimes,wahaya wenzako waliokuzidi akili ni madaktari mshahara dollar laki tano 😂😂
Acha utumwa wa fikra hujui Hiyo nchi tumeijenga sisi waafrica!!?
 
USA ni kama peponi. Ndiyo maana hata Xi Jingping alisoma na kuishi huko.

Wachina, Warusi, Waarab wakishakuwa mabilionea wanahamia USA au kufanya kila juhudi kupata uraia wa USAA
Acheni kulishana Matango pori, mpaka 2010 USA ilikuwa ndo nchi watu wanaenda kusoma ili ukipata degree au masters ya USA na UK ni rahisi kufanya kazi taasisi kubwa kubwa duniani kwa sababu ya ushawishi wa usa na walivyo weza kutangaza vyuo vyao, Kuanzia 2015 new lion arised China n Russia amerudi kwenye globala power sasahivi upepo umehama , dunia nzima inaenda kutembea zaidi china kuliko USA

2. Kuhusu kuhamia na kuwekeza Marekani, Marekani ni soko kubwa la dunia na walikuwa na welcome policy nchi na makampuni makubwa yanagombania kufanya biashara na USA kwa sababu ya purchasing power yao , Idadi ya watu na local policy yao ya credit system ni rahisi sana kuingiza bidhaaa na kuzisambaza

3. USA ya sasahivi ni hell country in tabaka dogo sana la matajiri sana, tabaka dogo kiasi la wenla watu wa kati na tabaka kubwa sana la watu wenye kazi ila hawana akiba end to mouth employees na Tabaka la aibu la homeless watu milioni 98 , na drugs addict karibu milioni 22 , China hili kundi ni laki 1 tu homeless china wapo milioni 1 , middle class china sasa hivi ni watu milioni 700 bilionares top 1000, 500 wapo china japo wengi ni number 2000 kushuka chini.

4. Fanya trade comparison kila kitu isipokuwa mauzo ya silaha tu china amempita Marekani by far kuanzia mwaka 2021 to date data.

5 Kwa infrastructures Marekani anahitaji miaka 50 kumkaribia china alipo sasahivi

6. Futuristic technology kama AI, Robot tech, Fintech na Internet of things speed ya china ngumzo hata marekani ,

7. Marekani alikuwa smart sana ku retain top tallents miaka hiyo mpaka kesho anafanya hivyo ila wenzake wao wanazalisha tallents from within , chinese na russians hawanunui wataala wanazalisha wao wenyewe

8. Demographic movement ya Asians na waarabu kwenda marekani ni kupanua fursa , mfano kuna wachina wengi sana wamefungua franchise ya bidhaa za china marekani, Canada ili kusamabaza chinese products influence na kufungua masoko mapya ila sio kwamba ndo wamezamia,

9. Kama hujaishi Marekani ukiisikia utaiogopa sana ila ukishaishi kidogo ukajua mifumo ya utawaona wa kawaida hawatakutisha tena nakuwekea video chache ukiwa na muda tembelea Texx , florida , boston halafu halafu nenda Whuhan, Shangai, Shenai, usisau Canton Fair halafu uje na conclution
 
Tatizo ni kuwa vijana wanakosa fursa ya kwenda kwenye vyuo vya maana duniani kupata elimu itakayosaidia kujenga taifa letu; kwa sababu ya watu waovu hawa, akina Samia Suluhu Hassan!
 
Yes , hao jamaa ni wabaya Sana

Nilisoma kitabu cha Jay Z kinaitwa Decoded

In short wazungu ni watu wabaya Sana .

Wameharibu Sana Maisha ya Mwafrica

Wametengeza Ukimwi
Wametengeneza TB
Wametengeneza Corona

Yote hili wapige hela na kututawala kwa kigezo cha msaada
na ndo wanaosababisha asilimia 90 ya vita vyote hapa duniani, kuna baadhi ya magomvi wao wao wanatuchonganisha mno na wana vitengo bora kabisa kwa ajili ya uchonganishi mamaae
 
Hata Uganda wametupiku? Ah kudadeki 😀😭😭
 
Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump.

Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri.

Kwa mujibu wa serikali ya Marekani, uamuzi huo umetokana na kile ilichokitaja kuwa changamoto katika mifumo ya utambuzi na uhakiki wa raia.

Utawala wa Trump ulidai kuwa baadhi ya nchi, zikiwemo zilizoongezwa kwenye orodha hiyo, zina viwango vya rushwa, udhaifu katika nyaraka za kiraia, au taarifa za uhalifu zisizoaminika, hali inayodaiwa kufanya mchakato wa kuhakiki wasafiri kuwa mgumu.

View attachment 3516389

Hizi ndio nchi zilizopo kwenye orodha

Original 12 countries
  • Afghanistan
  • Burma
  • Chad
  • Republic of the Congo
  • Equatorial Guinea
  • Eritrea
  • Haiti
  • Iran
  • Libya
  • Somalia
  • Sudan
  • Yemen
Newly added countries
  • Burkina Faso
  • Mali
  • Niger
  • South
  • Sudan
  • Syria
Countries upgraded from partial to full restrictions
  • Laos
  • Sierra Leone

Countries under partial entry restrictions
Previously listed

  • Burundi
  • Cuba
  • Togo
  • Venezuela
Newly added 15
  • Angola
  • Antigua and Barbuda
  • Benin
  • Cote d’Ivoire
  • Dominica
  • Gabon
  • The Gambia
  • Malawi
  • Mauritania
  • Nigeria
  • Senegal
  • Tanzania
  • Tonga
  • Zambia
  • Zimbabwe
----------------------------------------

An additional 15 countries are also being added to the list of countries facing partial restrictions: Angola, Antigua and Barbuda, Benin, Côte d’Ivoire, Dominica, Gabon, Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Tonga, Zambia and Zimbabwe.

The Trump administration said in its announcement of the expanded travel ban that many of the countries from which it was restricting travel had “widespread corruption, fraudulent or unreliable civil documents and criminal records” that made it difficult to vet their citizens for travel to the U.S. It also said some countries had high rates of people overstaying their visas, refused to take back their citizens who the U.S. wished to deport or had a “general lack of stability and government control,” which made vetting difficult.

Source: NBC
KWANINI NA SISI TANZANIA TUSIWAFUNGIE RAIA WA MAREKANI KUINGIA NCHINI MWETU ???
 
Uzembe,madawa and sometimes bahati mbaya,nothing is perfect
umeongea sahihi sana, ila wao wanajua kutunyooshea sana vidole sisi waafrica, pili mbona Asia hili tatizo sio kama wao? au eastern Europe ? lazima tukubali serikali kali kidogo ndo mfumo sahihi zaidi kuliko huo mfumo wa ubebari
 
Yaani umeharibikiwa kwelikweli, kiasi cha kujiachia namna hii?

Unategemea kufaidika vipi kwa hali hii?
Kizazi cha kuabudu wazungu kinaenda kuzikwa rasmi sasa .

Watu wanawanyonya then unawalilia na kuwaabudu

WTF.
 
Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump.

Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri.

Kwa mujibu wa serikali ya Marekani, uamuzi huo umetokana na kile ilichokitaja kuwa changamoto katika mifumo ya utambuzi na uhakiki wa raia.

Utawala wa Trump ulidai kuwa baadhi ya nchi, zikiwemo zilizoongezwa kwenye orodha hiyo, zina viwango vya rushwa, udhaifu katika nyaraka za kiraia, au taarifa za uhalifu zisizoaminika, hali inayodaiwa kufanya mchakato wa kuhakiki wasafiri kuwa mgumu.

View attachment 3516389

Hizi ndio nchi zilizopo kwenye orodha

Original 12 countries
  • Afghanistan
  • Burma
  • Chad
  • Republic of the Congo
  • Equatorial Guinea
  • Eritrea
  • Haiti
  • Iran
  • Libya
  • Somalia
  • Sudan
  • Yemen
Newly added countries
  • Burkina Faso
  • Mali
  • Niger
  • South
  • Sudan
  • Syria
Countries upgraded from partial to full restrictions
  • Laos
  • Sierra Leone

Countries under partial entry restrictions
Previously listed

  • Burundi
  • Cuba
  • Togo
  • Venezuela
Newly added 15
  • Angola
  • Antigua and Barbuda
  • Benin
  • Cote d’Ivoire
  • Dominica
  • Gabon
  • The Gambia
  • Malawi
  • Mauritania
  • Nigeria
  • Senegal
  • Tanzania
  • Tonga
  • Zambia
  • Zimbabwe
----------------------------------------

An additional 15 countries are also being added to the list of countries facing partial restrictions: Angola, Antigua and Barbuda, Benin, Côte d’Ivoire, Dominica, Gabon, Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Tonga, Zambia and Zimbabwe.

The Trump administration said in its announcement of the expanded travel ban that many of the countries from which it was restricting travel had “widespread corruption, fraudulent or unreliable civil documents and criminal records” that made it difficult to vet their citizens for travel to the U.S. It also said some countries had high rates of people overstaying their visas, refused to take back their citizens who the U.S. wished to deport or had a “general lack of stability and government control,” which made vetting difficult.

Source: NBC
GENTAMYCINE
 
Mbona naona na Tanga pia IPO?
kuna Nchi inaitwa Tanga?

Trumpet chizi...kwani marekani kuna pepo au ukienda unaenda kuongeza siku za kuishi? huyu chizi kuna wajinga walimfurahia humu kipindi kile cha uchaguzi kwamba akipita trumpet Mambo yatakuwa supa America,mmoja mshkaji wetu kashindwa kwenda USA kwa mashart ya sasa ya Trump
 
Back
Top Bottom