PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Acheni kulishana Matango pori, mpaka 2010 USA ilikuwa ndo nchi watu wanaenda kusoma ili ukipata degree au masters ya USA na UK ni rahisi kufanya kazi taasisi kubwa kubwa duniani kwa sababu ya ushawishi wa usa na walivyo weza kutangaza vyuo vyao, Kuanzia 2015 new lion arised China n Russia amerudi kwenye globala power sasahivi upepo umehama , dunia nzima inaenda kutembea zaidi china kuliko USA

2. Kuhusu kuhamia na kuwekeza Marekani, Marekani ni soko kubwa la dunia na walikuwa na welcome policy nchi na makampuni makubwa yanagombania kufanya biashara na USA kwa sababu ya purchasing power yao , Idadi ya watu na local policy yao ya credit system ni rahisi sana kuingiza bidhaaa na kuzisambaza

3. USA ya sasahivi ni hell country in tabaka dogo sana la matajiri sana, tabaka dogo kiasi la wenla watu wa kati na tabaka kubwa sana la watu wenye kazi ila hawana akiba end to mouth employees na Tabaka la aibu la homeless watu milioni 98 , na drugs addict karibu milioni 22 , China hili kundi ni laki 1 tu homeless china wapo milioni 1 , middle class china sasa hivi ni watu milioni 700 bilionares top 1000, 500 wapo china japo wengi ni number 2000 kushuka chini.

4. Fanya trade comparison kila kitu isipokuwa mauzo ya silaha tu china amempita Marekani by far kuanzia mwaka 2021 to date data.

5 Kwa infrastructures Marekani anahitaji miaka 50 kumkaribia china alipo sasahivi

6. Futuristic technology kama AI, Robot tech, Fintech na Internet of things speed ya china ngumzo hata marekani ,

7. Marekani alikuwa smart sana ku retain top tallents miaka hiyo mpaka kesho anafanya hivyo ila wenzake wao wanazalisha tallents from within , chinese na russians hawanunui wataala wanazalisha wao wenyewe

8. Demographic movement ya Asians na waarabu kwenda marekani ni kupanua fursa , mfano kuna wachina wengi sana wamefungua franchise ya bidhaa za china marekani, Canada ili kusamabaza chinese products influence na kufungua masoko mapya ila sio kwamba ndo wamezamia,

9. Kama hujaishi Marekani ukiisikia utaiogopa sana ila ukishaishi kidogo ukajua mifumo ya utawaona wa kawaida hawatakutisha tena nakuwekea video chache ukiwa na muda tembelea Texx , florida , boston halafu halafu nenda Whuhan, Shangai, Shenai, usisau Canton Fair halafu uje na conclution
Mkuu,

Watu kuto kwenda wengi Marekani ni restriction policy zao ambazo kmsingi wapk sahihi sana.

HUwezi kuichukulia poa US nchi yenye current investment karibia $10 trillioni.

Maeneo makubwa yakiwa kwenye innovation &Tech, manufacturing.

Pamoja na hizo emerged developed countries kama China, huwezi ilitea dharua US kama unavyotaka tuone.
 
Sahihi Ila sisi tumepambana ili kuijenga USA

Hata ya maneno Kama "Ghetto" na "Niggers"

Yametokana na mateso , sisi tulikuwa tunalala chumba kimoja watu wengi ndo hiyo ikaitwa Gheto

So USA Mimi nawaona wanajisahau tu
Kila mtu ajenge kwake, ama ukawachukue wa US waje wakujengee na weae.
 
Back
Top Bottom