PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Acheni kulishana Matango pori, mpaka 2010 USA ilikuwa ndo nchi watu wanaenda kusoma ili ukipata degree au masters ya USA na UK ni rahisi kufanya kazi taasisi kubwa kubwa duniani kwa sababu ya ushawishi wa usa na walivyo weza kutangaza vyuo vyao, Kuanzia 2015 new lion arised China n Russia amerudi kwenye globala power sasahivi upepo umehama , dunia nzima inaenda kutembea zaidi china kuliko USA

2. Kuhusu kuhamia na kuwekeza Marekani, Marekani ni soko kubwa la dunia na walikuwa na welcome policy nchi na makampuni makubwa yanagombania kufanya biashara na USA kwa sababu ya purchasing power yao , Idadi ya watu na local policy yao ya credit system ni rahisi sana kuingiza bidhaaa na kuzisambaza

3. USA ya sasahivi ni hell country in tabaka dogo sana la matajiri sana, tabaka dogo kiasi la wenla watu wa kati na tabaka kubwa sana la watu wenye kazi ila hawana akiba end to mouth employees na Tabaka la aibu la homeless watu milioni 98 , na drugs addict karibu milioni 22 , China hili kundi ni laki 1 tu homeless china wapo milioni 1 , middle class china sasa hivi ni watu milioni 700 bilionares top 1000, 500 wapo china japo wengi ni number 2000 kushuka chini.

4. Fanya trade comparison kila kitu isipokuwa mauzo ya silaha tu china amempita Marekani by far kuanzia mwaka 2021 to date data.

5 Kwa infrastructures Marekani anahitaji miaka 50 kumkaribia china alipo sasahivi

6. Futuristic technology kama AI, Robot tech, Fintech na Internet of things speed ya china ngumzo hata marekani ,

7. Marekani alikuwa smart sana ku retain top tallents miaka hiyo mpaka kesho anafanya hivyo ila wenzake wao wanazalisha tallents from within , chinese na russians hawanunui wataala wanazalisha wao wenyewe

8. Demographic movement ya Asians na waarabu kwenda marekani ni kupanua fursa , mfano kuna wachina wengi sana wamefungua franchise ya bidhaa za china marekani, Canada ili kusamabaza chinese products influence na kufungua masoko mapya ila sio kwamba ndo wamezamia,

9. Kama hujaishi Marekani ukiisikia utaiogopa sana ila ukishaishi kidogo ukajua mifumo ya utawaona wa kawaida hawatakutisha tena nakuwekea video chache ukiwa na muda tembelea Texx , florida , boston halafu halafu nenda Whuhan, Shangai, Shenai, usisau Canton Fair halafu uje na conclution
Kwahiyo Mkuu tunalingana nao kiuchumi? Na hivyo vikwazo vyao haviwezi kutuathiri kiuchumi?

Maana tukiangalia Tz ni Moja ya zile top 10 countries Duniani zinazo pokea msaada kutoka USA .

Sasa hao China sijui Russia sidhani kama Wana impact kubwa sana kwa upande wetu wa kiuchumi.
 
Mbona naona na Tanga pia IPO?
kuna Nchi inaitwa Tanga?

Trumpet chizi...kwani marekani kuna pepo au ukienda unaenda kuongeza siku za kuishi? huyu chizi kuna wajinga walimfurahia humu kipindi kile cha uchaguzi kwamba akipita trumpet Mambo yatakuwa supa America,mmoja mshkaji wetu kashindwa kwenda USA kwa mashart ya sasa ya Trump
Laum serikari yako siyo Trump.
 
Sababu ni hizi hapa:-
Screenshot_20251217_151027_WhatsApp.jpg
 
Kwahiyo Mkuu tunalingana nao kiuchumi? Na hivyo vikwazo vyao haviwezi kutuathiri kiuchumi?

Maana tukiangalia Tz ni Moja ya zile top 10 countries Duniani zinazo pokea msaada kutoka USA .

Sasa hao China sijui Russia sidhani kama Wana impact kubwa sana kwa upande wetu wa kiuchumi.
hapana sisi hatuna ubavu kabisa hata tone yaani hata tone la kumvimbia marekani ila sio kwamba ndo mbinguni , lazima tucheze naye kwa unafki sana , ameweza kupindua mataifa mkubwa makubwa kama , Sudan ,libya, iraq, sasahivi venezuela , hata huyo Russia kugawanyika USSR marekani alihusika sana , zamani USSR ilikuwa ni russia plus nchi 32 zilizojitenga utaona uchumi wake na nguvu zake zilikuwaje , Ili tusurvive lazima tumpe anachotaka japo tumbane bane asiijiachie yaani madini na sisi tupone
 
hapana sisi hatuna ubavu kabisa hata tone yaani hata tone la kumvimbia marekani ila sio kwamba ndo mbinguni , lazima tucheze naye kwa unafki sana , ameweza kupindua mataifa mkubwa makubwa kama , Sudan ,libya, iraq, sasahivi venezuela , hata huyo Russia kugawanyika USSR marekani alihusika sana , zamani USSR ilikuwa ni russia plus nchi 32 zilizojitenga utaona uchumi wake na nguvu zake zilikuwaje , Ili tusurvive lazima tumpe anachotaka japo tumbane bane asiijiachie yaani madini na sisi tupone
Hichi unacho ongea ni ndiyo tu, Labda siyo kwa mafisadi haya tuliyo nayo.
 
Kizazi cha kuabudu wazungu kinaenda kuzikwa rasmi sasa .

Watu wanawanyonya then unawalilia na kuwaabudu

WTF.
Haya ndiyo unayoyajuwa wewe leo?
Kwa hiyo unataka kizazi kiwalilie nani; waovu, akina Samia Suluhu Hassan na Genge lake na nguruwe wao wawafugao kama wewe?
Muwaue waTanzania na kuiba na kufuja mali zao; muwalazimishe kuwatawala kwa mabavu, wakikataa muwaseme wanawalilia wazungu?

Mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?
 
Haya ndiyo unayoyajuwa wewe leo?
Kwa hiyo unataka kizazi kiwalilie nani; waovu, akina Samia Suluhu Hassan na Genge lake na nguruwe wao wawafugao kama wewe?
Muwaue waTanzania na kuiba na kufuja mali zao; muwalazimishe kuwatawala kwa mabavu, wakikataa muwaseme wanawalilia wazungu?

Mbona unajishusha hadhi kiasi hiki?

Nyie keyboard mmeingiza vijana barabarani kwa sababu zipi? Hamkuwaza kuwa watauliwa?
 
Nyie keyboard mmeingiza vijana barabarani kwa sababu zipi? Hamkuwaza kuwa watauliwa?
Hao vijana ni mashujaa wa taifa hili, na siku moja majina yao yataandikwa kwa heshima. Takataka kama hao wafugaji wako historia itawatambua kwa uovu wao; na nytinyi nguruwe, hakuna hata mmoja atakayetaka kujuwa kuwa mliwahi kuwepo ndani ya taifa hili; hata wajukuu zenu watawakana.
 
Hao vijana ni mashujaa wa taifa hili, na siku moja majina yao yataandikwa kwa heshima. Takataka kama hao wafugaji wako historia itawatambua kwa uovu wao; na nytinyi nguruwe, hakuna hata mmoja atakayetaka kujuwa kuwa mliwahi kuwepo ndani ya taifa hili; hata wajukuu zenu watawakana.
Kalamu itaandikwa October 29 Kuna majambazi yalivamia nchi na kuumiza watu na kuharibu mali za watu kwa mkupuo, walaaniwe majambazi sugu, majangili, majizi, mahayawani, matahira makubwa kabisa na walliowachochea pia
 
Kalamu itaandikwa October 29 Kuna majambazi yalivamia nchi na kuumiza watu na kuharibu mali za watu kwa mkupuo, walaaniwe majambazi sugu, majangili, majizi, mahayawani, matahira makubwa kabisa na walliowachochea pia
Yoote uliyoeleza hapo, ndiyo historia halisi itakayomwandama Samia Suluhu Hassan.
Kutokana na uandishi wako, najuwa hujui ninachoeleza hapa.
 

Home affairs busts Kenyans working illegally on US refugee applications​

Transgressors face deportation for violating SA tourist visa rules with a five-year entry ban​


Johannesburg, South Africa

December 17, 2025 at 10:30 am
By Herman Moloi

An immigration official based at the Beitbridge home affairs offices has been sentenced to four years in jail, wholly suspended for five years, for taking a bribe.

Home affairs spokesperson Carli van Wyk said the arrest followed intelligence reports which indicated that a number of Kenyan nationals had recently entered SA on tourist visas and had illegally taken up work at a centre processing the applications of so-called “refugees” to the US. (Michael Pinyana)


Seven Kenyans who had visas to work on processing applications of refugees to the US were arrested in Johannesburg on Tuesday for doing the work illegally.

Home affairs spokesperson Carli van Wyk said the arrest followed intelligence reports which indicated that a number of Kenyan nationals had recently entered SA on tourist visas and had illegally taken up work at a centre processing the applications of so-called “refugees” to the US.


Seven Kenyan nationals were discovered engaging in work despite only being in possession of tourist visas, in clear violation of their conditions of entry into SA.

— Carli van Wyk, Home affairs spokesperson
“This was despite the fact that earlier visa applications for Kenyan nationals to perform this work had been lawfully declined by the department.

“During the operation, seven Kenyan nationals were discovered engaging in work despite only being in possession of tourist visas, in clear violation of their conditions of entry into the country. They were arrested and issued with deportation orders and will be prohibited from entering South Africa again for a five-year period,” said Van Wyk.

She said the department of international relations & cooperation has initiated formal diplomatic engagements with the US and Kenya to resolve the matter.

Sowetan
 
17 December 2025
Johannesburg, RSA

Wafukuzwa nchini kutokana na matumizi mabaya ya VISA nchini Afrika Kusini: Sophie Mokoena aeleza zaidi​


View: https://m.youtube.com/watch?v=nEgUq6Q6O9w
Idara ya Mambo ya Ndani nchini Africa ya Kusini, imewakamata Wakenya saba ambao wanadaiwa kutumia vibaya visa vya watalii. Kukamatwa kwao kulifanyika kwa ushirikiano na vyombo vya sheria. Mambo ya Ndani yanasema washukiwa hao walikiuka sheria za uhamiaji za Afrika Kusini. Sophie Mokoena anaripoti
 
Akili za manyonyo ni sawa na wale magaidi wa Kiislamu, hawaipendi USA lkn kutwa wanatamani kuishi USA 😂
 

17 December 2025​

Marekani itazungumzia suala kubwa kuhusu kufukuzwa kwa wahamiaji hivi karibuni: Dkt. Oscar van Heerden​


View: https://m.youtube.com/watch?v=lacyR6Tdsr4
Kwa taarifa mpya zaidi kuhusu kufukuzwa kwa raia wa Kenya, tunaungana na mtaalamu wa Mahusiano ya Kimataifa kutoka Kituo cha Diplomasia na Uongozi wa Afrika, Chuo Kikuu cha Johannesburg, Dkt. Oscar van Heerden.
 

​

17 December 2025
Cape Town

EXPLAINER​

Why did SA government officials raid the site processing US-bound ‘refugees’?​

On Tuesday, 16 December, a Johannesburg centre processing applications for South Africans wishing to take up ‘refugee’ status was raided by Home Affairs officials and the police. We break it down.
Illustrative image: Newly arrived Afrikaner ‘refugees’ in the US. (Photo: Chip Somodevilla / Getty Images) | Statue of Liberty and US flag. (Photo: Stock) | Asylum seekers. (Photo: Stock)
Illustrative image: Newly arrived Afrikaner ‘refugees’ in the US. (Photo: Chip Somodevilla / Getty Images) | Statue of Liberty silhouette and US flag. (Photo: iStock) | Asylum seekers. (Photo: iStock)
Dive Deeper
Rebecca Davis
By Rebecca Davis
17 Dec 2025

What’s the background here?​

In August, Daily Maverick broke the story of how the US State Department was applying for visas for about 30 Kenyans to come to South Africa to assist with processing Afrikaners who were applying for “refugee” status in the US.

Why did they have to be Kenyan?​

The refugee programme is coordinated by the Resettlement Support Centre (RSC) Africa, which is operated by Church World Service out of Nairobi, Kenya.

In addition, though this has not been officially confirmed, a government official told Daily Maverick that it is believed that Kenyans were thought more suitable to carry out this particular task because South Africans might harbour animosity towards the applicants — who are being granted “refugee” status premised on a false claim of “white genocide” in SA.

What visas did they originally apply for?​

We reported that the Department of Home Affairs had received applications in late July for 30 Kenyans to enter on volunteer visas.

But, to qualify for a volunteer visa, the applicants would not have been able to receive any paid remuneration for the work they would do in South Africa — which was clearly not going to be the case.

The Department of Home Affairs on Wednesday confirmed that these visa applications were “lawfully declined”.

The Kenyans would also not have qualified for work visas, which require a job offer from a South African employer, not a foreign entity. In addition, it could hardly have been claimed that the Kenyans were needed on account of possessing scarce skills that South Africans did not, since the work they were carrying out was “fairly low-grade clerical work”, to quote a government official.

Daily Maverick also understands that there was significant irritation within the Cabinet at the request to assist with a “refugee” programme that the government considers ludicrous, so nobody was about to bend the law to help the Americans here.

Brcs-refugees us
An Omni Air International charter flight carrying ‘refugees’ from South Africa to the US lands at Washington Dulles International Airport on 12 May. (Photo: Chip Somodevilla / Getty Images)

So did the Kenyans end up coming?​

It would appear so, because this was the premise of the raid conducted on a Johannesburg refugee processing centre on Tuesday.

“The operation followed after intelligence reports indicated that a number of Kenyan nationals had recently entered South Africa on tourist visas and had illegally taken up work at a centre processing the applications of so-called refugees to the United States,” stated the Department of Home Affairs.

“During the operation, seven Kenyan nationals were discovered engaging in work despite only being in possession of tourist visas, in clear violation of their conditions of entry into the country. They were arrested and issued with deportation orders, and will be prohibited from entering South Africa again for a five-year period.”

Do we know anything about how this went down behind the scenes?​

A government official told Daily Maverick they believed Kenyans from the original list of 30 visa applicants had been coming to South Africa in batches, all on 90-day tourist visas, to carry out the work.

They appear to have been leaving when the three-month visa term is up, to be replaced by others: the seven Kenyans arrested on Tuesday had return flights booked.

The Kenyans were originally working out of a residential site in Pretoria, the official said, but had to move to Johannesburg when a bigger site was required.

When Home Affairs officials and the police arrived at the centre on Tuesday and started interviewing workers, US officials apparently demanded that they stop. The US officials also tried to claim that the workers could not be arrested. (The US embassy did not respond to Daily Maverick’s request for comment on Wednesday.)

Home Affairs and the Department of International Relations and Cooperation (Dirco) have clearly taken a dim view of the US officials’ attempts to intervene, because the Home Affairs statement on the raid concluded: “The presence of foreign officials apparently coordinating with undocumented workers naturally raises serious questions about intent and diplomatic protocol.”

It’s safe to say the South African government is not happy about the apparent belief on the part of the Americans that immigration laws could be flouted to carry out a US project that the government considers to be bogus.

Social media is awash with theories that this is an attempt to sabotage the refugee programme. Is there any truth to this?​

Colonel Chris Wyatt, a retired US Army official who is inexplicably invested in the Afrikaner “refugee” programme, posted a video on his social media channels which seemed to insinuate that the real purpose of the raid was to gather information about the “refugee” applicants and intimidate them from applying.

There is no evidence that this is the case, since the South African government has not attempted to stop any of the estimated 400 South Africans who had left for the US under the “refugee” programme by the end of October.

Indeed, the major stumbling block to the programme thus far has seemed to be applicants getting cold feet when the opportunity to leave is presented: City Press reported in October that in one week the US government had booked 50 seats for “refugees” on a flight, but only three turned up for it.

Home Affairs says the raid was “routine” and “lawful”, and in keeping with a crackdown on immigration violations.

“No US officials were arrested in the process, the operation was not conducted at a diplomatic site, and no members of the public or prospective ‘refugees’ were harassed,” its statement read.

Brcs-refugees us
Newly arrived Afrikaner ‘refugees’ wait to hear welcome statements from US government officials in a hangar at Atlantic Aviation Dulles in Washington, DC, on 12 May. (Photo: Chip Somodevilla / Getty Images)

What happens next?​

This incident will have done nothing to improve already icy diplomatic relations between the US and South Africa — on both sides.

In a statement sent to US publications, the US State Department said it was “seeking immediate clarification from the South African government” on the issue and expected “full cooperation and accountability”.

It added: “Interfering in our refugee operations is unacceptable.”

However, the South African government clearly isn’t taking this lying down either.

The Home Affairs statement said that Dirco would initiate “formal diplomatic engagements with both the United States and Kenya to resolve this matter”.

A government official told Daily Maverick that it would be typical diplomatic practice in cases like this for the most senior member of the US embassy in Pretoria to be summoned for a “demarche” — essentially, a diplomatic smackdown. Watch this space. DM
 

View: https://youtu.be/YdGzXFgKLbE?si=g9m061ibXac5g8l8

Tarehe 8/12/2025 siku moja kabla ya maandamano yaliyopangwa kufanyika 9/12/2025, ikulu ilimwita balozi mdogo wa Marekani hapa nchini ktk jitihada za kujaribu kuonesha kuwa, pamoja na mauaji ya 29/10 bado Tanzania ina uhusiani mzuri tu na Marekani. Kikao hicho kilifanyikia Ikulu ya Chamwino Dodoma

Wengi walidhani picha hizo zilikuwa fake na wengi waliishangaa Marekani kupitia kwa balozi wake huyo kusaliti Watanganyika na kukutana na muuaji Samia Suluhu Hassan. Lakini ukweli ni kuwa, ni walikutana na mazungumzo yao yalikuwa mafupi sana na ya kawaida

Lakini masikini ya Mungu, baada ya tukio hilo Ikulu ilitoa taarifa ndefu ikionesha mambo mengi ili tu kuhadaa watu kuwa mambo kati ya TZ na USA yako sawa

Jana tarehe 17/12/2025 hali inaonesha ni tofauti kabisa kwani Donald Trump, Rais wa Marekani ameiweka Tanzania ktk nchi za East Africa katika orodha za nchi zilizowekewa vikwazo vya watu wake kuingia Marekani

Kwa ufahamu zaidi, tazama na sikiliza ufafanuzi wa hili kupitia video hiyo👆🏻👆🏻fupi ya dakika 9+ ya JasusiTV
 
Aliwauliza hadharani "who are you?"
Ngoja tusubiri tuone mwisho wake.
 
Back
Top Bottom