Yes,bila ivyo siku zako za kuishi zinapungua mkuu.ukienda USA unaongeza uhai,,, Trump ni mwehuhivi ili maisha yaende lazima kukanyaga US?
Yes,bila ivyo siku zako za kuishi zinapungua mkuu.ukienda USA unaongeza uhai,,, Trump ni mwehuhivi ili maisha yaende lazima kukanyaga US?
You won🏆🙌
Nani kakwambia US imejengwa na waafrika pekee?Acha utumwa wa fikra hujui Hiyo nchi tumeijenga sisi waafrica!!?
Yes,bila ivyo siku zako za kuishi zinapungua mkuu.ukienda USA unaongeza uhai,,, Trump ni mwehu
Wanaofanya maisha yako yaende lazima wakanyage USA.
Nani kakwambia US imejengwa na waafrika pekee?
Kqsome history upya ww
Anajitia moyo tu hapaOverrated 😁? wee muhaya unachekesha sana, nimekaa sana US sijawahi kuona barabara ya vumbi,umeme kukatika wala maji,ukiona mtu kafeli US ni uzembe,madawa au bahati mbaya sometimes,wahaya wenzako waliokuzidi akili ni madaktari mshahara dollar laki tano 😂😂
Pole sana US wasnt built na blacks, kuna jamii kibao ziliingia us na kuchangia hili taifa kuwepo, black wana mchango wao lakin si the only oneWewe ndo ukasome historia , bila sisi waafrica kuijenga USA isingefika hapo
Pole sana US wasnt built na blacks, kuna jamii kibao ziliingia us na kuchangia hili taifa kuwepo, black wana mchango wao lakin si the only one
History haisemi eti black pekee ndio walijenga nope nope nope
Nani kakwambia nawaabudu, based on which historical facts kwba blacks alone ndio wamejenga hilo taifa?Kazi tumefanya sisi waafrica hapo USA hakuna race imeweza kufanya.
Nashangaa mnapokuwa mnawaabudu hao jamaa na kuwaona Mungu watu
Hata misaada yenyewe wanaleta ukiitazama ni ujinga mtupu
Sisi niwakuletewa Condom na vyandarua ?
chanzo, Trust me broChanzo
Sahihi Ila sisi tumepambana ili kuijenga USANani kakwambia nawaabudu, based on which historical facts kwba blacks alone ndio wamejenga hilo taifa?
Kaka pls tubishane kwa facts, us iko hapo sababu ya jamii mbalimbali zilizohamia hapo, si black pekee
Kak bado huna facts, hizo ni tense tu kama zingine ambazo zilitengenezwa lakin haimaanishi ndio mchango wa kujenga taifa kubwaSahihi Ila sisi tumepambana ili kuijenga USA
Hata ya maneno Kama "Ghetto" na "Niggers"
Yametokana na mateso , sisi tulikuwa tunalala chumba kimoja watu wengi ndo hiyo ikaitwa Gheto
So USA Mimi nawaona wanajisahau tu
kweli kabisa Uganda Kenya na Rwanda ni walamba miguu kwa mzeee sisi ni Non Align country
Kak bado huna facts, hizo ni tense tu kama zingine ambazo zilitengenezwa lakin haimaanishi ndio mchango wa kujenga taifa kubwa
Hujataja facts hata moja
USA sio overrated country mkuu, wale jamaa tukubali tu hatuwezi kujilinganisha na sisi,Fact yangu inasema
USA is overrated country
Kwakuwa imefika hapo kwa nguvu zetu waafrica .
Habari za kuwalamba Miguu Zinabidi kukoma akiweka ban unamuwekea ban win win situation
USA sio overrated country mkuu, wale jamaa tukubali tu hatuwezi kujilinganisha na sisi,
Hatuwezi kutengeneza win win situation na USA, sisi ndio tutakaoumia.