PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unajua nchi ya Tanzania watu huwa hawajisumbui kutafuta maarifa

USA imejengwa na Waafrica mpaka imefika hapo

Hao blacks (Niggers ) ambao unaowaona wapo Kama akina Jay Z n.k

Babu zao wamefanya Kazi ngumu na walipelekwa huko wametumikishwa katika Kazi za hatari mpaka wamekufa


So MTU akizungumzia USA anashindwa kujua sisi hiyo nchi tumeijenga sisi wenyewe

Bila sisi kuijenga hiyo nchi hao akina Rocafella , n.k kina trump wasingekuja kutafuta maisha USA

Sasa Leo hii wanawawekea ban waafrica walioijenga marekani

Ahaaaa 😁 kidding
Endelea kuishi Bukoba,huku hapakufai
 
Acheni kulishana Matango pori, mpaka 2010 USA ilikuwa ndo nchi watu wanaenda kusoma ili ukipata degree au masters ya USA na UK ni rahisi kufanya kazi taasisi kubwa kubwa duniani kwa sababu ya ushawishi wa usa na walivyo weza kutangaza vyuo vyao, Kuanzia 2015 new lion arised China n Russia amerudi kwenye globala power sasahivi upepo umehama , dunia nzima inaenda kutembea zaidi china kuliko USA

2. Kuhusu kuhamia na kuwekeza Marekani, Marekani ni soko kubwa la dunia na walikuwa na welcome policy nchi na makampuni makubwa yanagombania kufanya biashara na USA kwa sababu ya purchasing power yao , Idadi ya watu na local policy yao ya credit system ni rahisi sana kuingiza bidhaaa na kuzisambaza

3. USA ya sasahivi ni hell country in tabaka dogo sana la matajiri sana, tabaka dogo kiasi la wenla watu wa kati na tabaka kubwa sana la watu wenye kazi ila hawana akiba end to mouth employees na Tabaka la aibu la homeless watu milioni 98 , na drugs addict karibu milioni 22 , China hili kundi ni laki 1 tu homeless china wapo milioni 1 , middle class china sasa hivi ni watu milioni 700 bilionares top 1000, 500 wapo china japo wengi ni number 2000 kushuka chini.

4. Fanya trade comparison kila kitu isipokuwa mauzo ya silaha tu china amempita Marekani by far kuanzia mwaka 2021 to date data.

5 Kwa infrastructures Marekani anahitaji miaka 50 kumkaribia china alipo sasahivi

6. Futuristic technology kama AI, Robot tech, Fintech na Internet of things speed ya china ngumzo hata marekani ,

7. Marekani alikuwa smart sana ku retain top tallents miaka hiyo mpaka kesho anafanya hivyo ila wenzake wao wanazalisha tallents from within , chinese na russians hawanunui wataala wanazalisha wao wenyewe

8. Demographic movement ya Asians na waarabu kwenda marekani ni kupanua fursa , mfano kuna wachina wengi sana wamefungua franchise ya bidhaa za china marekani, Canada ili kusamabaza chinese products influence na kufungua masoko mapya ila sio kwamba ndo wamezamia,

9. Kama hujaishi Marekani ukiisikia utaiogopa sana ila ukishaishi kidogo ukajua mifumo ya utawaona wa kawaida hawatakutisha tena nakuwekea video chache ukiwa na muda tembelea Texx , florida , boston halafu halafu nenda Whuhan, Shangai, Shenai, usisau Canton Fair halafu uje na conclution
Nikionaga mtu anawatetea wachina Huwa nachukia sana namuona waajabu,

Bro kwenye issues za infrastructure huyu china ni msenge TU Hana mana hapo zenji Kuna barabara kazijenga Sasa hata mwezi haujaisha tangu kuanza kutumia, mifuniko ya mtaro imevinjika ukiangalia unaona mchanga mweupe Yan cement kakaba unajiuliza hivi Hawa washa tuona sisi ni matako yao
 
Safi sana ,kila mtu abaki nchini kwake.
Kweli kabisa kabisa kabisa..
Tutabanana huku huku kwa raha na shida!
Viongozi wetu wache wanone isije ikaonekana tuna tabu, wadanganyika tunaamini AMANI NA UTULIVU!
🤣😂😆😁😄
 

Attachments

  • Screenshot_20251217-080923~2.jpg
    Screenshot_20251217-080923~2.jpg
    81.4 KB · Views: 20
  • Screenshot_20251217-080931~2.jpg
    Screenshot_20251217-080931~2.jpg
    57.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20251217-080955~2.jpg
    Screenshot_20251217-080955~2.jpg
    96.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20251217-081156~2.jpg
    Screenshot_20251217-081156~2.jpg
    41.9 KB · Views: 18
  • Screenshot_20251217-081205~2.jpg
    Screenshot_20251217-081205~2.jpg
    76.7 KB · Views: 22
  • Screenshot_20251217-081620~2.jpg
    Screenshot_20251217-081620~2.jpg
    72 KB · Views: 20
  • Screenshot_20251217-081657~2.jpg
    Screenshot_20251217-081657~2.jpg
    82 KB · Views: 22
  • Screenshot_20251217-081714~2.jpg
    Screenshot_20251217-081714~2.jpg
    79 KB · Views: 21
  • Screenshot_20251217-081929~2.jpg
    Screenshot_20251217-081929~2.jpg
    157.6 KB · Views: 22
  • Screenshot_20251217-082017~2.jpg
    Screenshot_20251217-082017~2.jpg
    27.3 KB · Views: 23
Fact yangu inasema

USA is overrated country
Kwakuwa imefika hapo kwa nguvu zetu waafrica .

Habari za kuwalamba Miguu Zinabidi kukoma akiweka ban unamuwekea ban win win situation
Na nyie mmeanza tabia ya waarabu? Unaenda kwenye nchi za watu unakaribishwa, ukiisha kua mwenyeji unamanisha Sheria zako Na una taka watu wazifuate?

We umeenda kama mtumwa ulipata wapi hela ya kununua walau mfuko wa cement?
 
Na nyie mmeanza tabia ya waarabu? Unaenda kwenye nchi za watu unakaribishwa, ukiisha kua mwenyeji unamanisha Sheria zako Na una taka watu wazifuate?

We umeenda kama mtumwa ulipata wapi hela ya kununua walau mfuko wa cement?

Hapo tumezungumzia ukweli kuwa Africa ina mchango mkubwa kwa USA.
 
Kweli kabisa kabisa kabisa..
Tutabanana huku huku kwa raha na shida!
Viongozi wetu wache wanone isije ikaonekana tuna tabu, wadanganyika tunaamini AMANI NA UTULIVU!
🤣😂😆😁😄
Wataanza kutumia akili sio kukaa nje eti ni msomi ,jikwamue kama wenzako wamejenga nchi yao miaka na miaka ..Nyie mkipata elimu mnakbilia nje kushangaa maghorofa.
 
Huyo mzee mpumbavu amebakiza miaka miwili, halafu kila kitu kitarudi kama zamani, jinga sana utadhani litakuwa raisi maisha yake yote


Trump hajakosea, amesema nchi hizo zina ufisadi, documents za kusafiria ni ovyo, na pia watu wake ni criminals chukulia watu kama akina Mafwele, na wenzake waliouwa watu oct 29. Nyie mueleweni Trump. Akazie hapo hapo
 
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumanne alipanua kwa kiasi kikubwa marufuku ya kusafiri kwa kuzuia watu kutoka nchi saba zaidi, ikiwemo Syria, pamoja na wamiliki wa pasipoti za Mamlaka ya Palestina, kuingia Marekani.
Hatua hii mpya inafanya idadi ya nchi zilizoathirika kufikia karibu 40, ambapo raia wake wanakabiliwa na vizuizi vya kuingia Marekani kwa sababu ya uraia wao pekee.

Nchi nyingine zilizoongezwa kwenye marufuku kamili ni Burkina Faso, Mali, Niger, Sierra Leone, Sudan Kusini na Laos. Vilevile, marufuku kwa sehemu yamewekwa kwa raia wa Nigeria, Ivory Coast, Senegal na mataifa mengine ya Afrika na Karibiani kama Angola, Benin, Gambia, Malawi, Mauritania, Tanzania, Zambia, Zimbabwe, pamoja na Tonga. Nchi nyingine zilizoendelea kubaki kwenye marufuku ni Afghanistan, Chad, Kongo-Brazzaville, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Myanmar, Sudan na Yemen.

Trump pia ameongeza masharti ya safari za kawaida kwa watu kutoka mataifa ya Magharibi

=========

President Donald Trump has expanded a US travel ban, barring nationals of five additional countries and people travelling on Palestinian Authority-issued documents from entering the US.

The White House said the restrictions were intended "to protect the security of the United States" and will come into force on 1 January.

Full-entry restrictions will be imposed on people from Burkina Faso, Mali, Niger, South Sudan and Syria as well as Palestinian Authority passport holders.

The administration also moved Laos and Sierra Leone, which were previously subject to partial restrictions, to the full ban list and put partial restrictions on 15 other countries, including Nigeria, Tanzania and Zimbabwe.
Trump, who has tightened immigration controls since returning to the White House in January, said the expanded travel ban was necessary because of what his administration described as failures in screening and vetting systems overseas.

Officials cited high visa overstay rates, unreliable civil records, corruption, terrorist activity and a lack of cooperation in accepting deported nationals.

The announcement followed the arrest of an Afghan national suspected of shooting two National Guard troops over the Thanksgiving weekend, an incident the White House pointed to in highlighting its security concerns.
This is the third time Trump has imposed a travel ban.

During his first term, he introduced a similar order in 2017, which sparked protests and legal challenges at home and abroad. The policy was later upheld by the US Supreme Court.

The White House said the restrictions would remain in place until affected countries show "credible improvements" in identity management, information-sharing and cooperation with US immigration authorities.

A number of exceptions apply and the ban will not affect lawful permanent residents, many existing visa holders, diplomats, or athletes travelling for major sporting events. Officials said case-by-case waivers would also be available where travel is deemed to be in the national interest.
Countries with full restrictions:
  • Afghanistan
  • Burkina Faso
  • Burma
  • Chad
  • Equatorial Guinea
  • Eritrea
  • Haiti
  • Iran
  • Laos
  • Libya
  • Mali
  • Niger
  • Republic of the Congo
  • Sierra Leone
  • Somalia
  • South Sudan
  • Sudan
  • Syria
  • Yemen
  • Individuals travelling on Palestinian Authority issued or endorsed travel documents are also subject to a full suspension of entry
Partial restrictions:
  • Angola
  • Antigua and Barbuda
  • Benin
  • Burundi
  • Côte d'Ivoire
  • Cuba
  • Dominica
  • Gabon
  • The Gambia
  • Malawi
  • Mauritania
  • Nigeria
  • Senegal
  • Tanzania
  • Togo
  • Tonga
  • Venezuela
  • Zambia
  • Zimbabwe
Special case:
  • Turkmenistan (restrictions remain for immigrants but have been lifted for non-immigrant visas)

Soiurce: DW & BBC
 
Hamsomi historia

USA hao niggers ndo wameijenga hiyo USA
Kwa hiyo hata kama wamejenga Niggers ndo kusiwe na sheria za nchi unataka na wauaji/wamwaga damu za Watanganyika, wala rushwa, wezi wa kura waende wakapollute nchi za watu.

Mbona na nchi nyingi za kiafrika zimejengwa na hao hao wazungu
 
Yes , hao jamaa ni wabaya Sana

Nilisoma kitabu cha Jay Z kinaitwa Decoded

In short wazungu ni watu wabaya Sana .

Wameharibu Sana Maisha ya Mwafrica

Wametengeza Ukimwi
Wametengeneza TB
Wametengeneza Corona

Yote hili wapige hela na kututawala kwa kigezo cha msaada
Ndiyo wazungu ni watu wabaya sana, wameiharibu Africa.

Wanateka, wanatesa na Kuwaua wafrika... (Hasa huku kwetu Tanzania).

Wanaenda mbali mpaka kupora uchaguzi wa viongozi.

Wameleta rushwa na ufisadi Africa ndiyo maana hatuendelei.

Wanasababisha wafrika wanakosa maji safi na salama kwa miaka 60 Sasa tangu uhuru.

Wanatufanya tuwategemee kila siku, huku tuna rasilimali za kutosha hazitumika ipasavyo.

Hakika Hawa wazungu hawafai kabsa.
 
Back
Top Bottom