Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa Intaneti na maarufu zaidi duniani.

Watkins anajulikana kwa tabia yake ya kihisia, zenye kutumia nguvu na michezo ya kuigiza anayoonesha katika matangazo yake ya moja kwa moja (Live Stream) ya aina mbalimbali, pamoja na matangazo yake ya maisha halisi (IRL) anayofanya katika maeneo mbalimbali duniani. Pia amekuwa akionekana kama balozi wa utamaduni, kwani ziara zake katika nchi tofauti mara nyingi huonyesha tamaduni, ubunifu na maisha ya watu wa maeneo hayo kwa watazamaji wa ndani na wa kimataifa.

View: https://www.instagram.com/reel/DSh5C2iErUe/?igsh=dHo4bzRqNHVoM2Jj

Siku ya Jana IShowSpeed alirusha kipande cha video yake inayoonesha tangazo la Tour anayepanga kuifanya barani Africa. Tangazo hili lilizua gumzo kwa Waafrica wengi na duniani ambapo Africa mara nyingi uonekane kusahaulika katika matukio ya kidunia. Generation Z huyo amekuwa kivutio cha Youtuber na streamers wengi ambao wanatamani kuwa kama yeye. Hata hivyo katika Tour yake hiyo ya Africa atatembelea Nchi 20 tu, huku kwa Ukanda wa Africa Mashariki akitembelea Rwanda na Kenya. Tanzania uonekana kama Nchi inayozidi kufubaa badala ya kupiga hatua za kimaendeleo na kuvutia wageni. Badala yake wageni wengi sasa wamekuwa wakienda Rwanda kama mbadala wa Tanzania katika ukanda huu. Jambo linalonyima fursa za kigeni wajasirimali wetu na enterntainers wetu kujulikana zaidi. Tulitegemea IShowSpeed atakutana na kina Kiredio na Influencers wengine kujenga uzoefu na kupeana deals lakini jambo hilo limekuwa gumu kwa Nchi yetu kwenye hii Tour ya IShowSpeed.

Kwa AFRIKA MASHARIKI na majirani zetu atapita
1. Kenya
2. Rwanda
3. Zambia
4. Mozambique (Msumbiji)

Nchi za ukanda huu zilizoachwa ni
1. Tanzania
2. Uganda
3. DRC
4. Somalia
5. South Sudan
6. Burundi

Screenshot_20251222_121912_Instagram.jpg
 
Hawezi kuja na maji huyo kiufupi hana faida kwetu. Tupambaneni tujijenge wenyewe, hebu acheni kulishushia taifa thamani kulinganisha na huyo dogo, je angekuwa ni ElonMusk ungesemaje si ungegalagala kabisa.
Wewe hata uelewa wako kwenye mambo ya Dunia ni Zero, nyie ndio mmekalia mama samuya mitano 5.

Huyu janjaro ana miaka 2o tu, lakini influence yake ni ya dunia nzima.... akisema apigie promo TZ hizo mbuga zenu mbona zingefurika watalii, huko zanzibar mbona wangemiminika. Shida ni kuwa uzee umekuandama, unajua kujenga Nchi ni kusomea ualimu na kuajiriwa tu. Haujui Nchi inahitaji fedha za kigeni hili kuimarika kiuchumi.

Nchi kama Rwanda inaweka Visit Rwanda kwenye matangazo ya EPL na Jezi za Ulaya lengo ni kuvutia utalii na biashara. Wewe umekaa tu hapo unasema "Tupambane tujijenge wenyewe", hakuna nchi inayojijenga yenyewe bila kuwa na external source (watalii na wawekezaji wa nje), Elon Musk unadhani anakuja kwenye nchi dhaifu iliyojaa wajinga kama wewe, Elon Musk anabidhaa zake hapo kenya hata Starlink yake inafanya kazi kenya, alafu wewe umebaki hapo kusema angekuja Elon... haya sasa I show speed kachagua Rwanda na Kenya, bado unaleta ukenge.

Sasa hivi Rwanda inapata watalii na kuvutia wawekezaji kuliko Tanzania wakati haina cha maana ukitoa wale Sokwe (Silverback Gorillas). Nchi yenyewe imepata uhuru juzi tu, ujinga wenu wa watu kama wewe na dharau ndio zinaiua Tanzania kuwa nchi bora Afrika Mashariki
 
Kwani mtu anayeishi nje ya Africa akipanga kufanya ziara Africa lazima afike Tanzania?

Hizo ni personal lreferences zake tu kama alivyo-opt out Uganda na nchi zingine.

Acheni kuzua taharuki.
Wewe kwa Akili zako unahisi IShowSpeed ni Mbosso au Diamond Platnumz.... Tour yake tu ni Promo tosha dunia nzima,

Ku-opt out Tanzania na Uganda ni kwa sababu wananchi wa hizi nchi ni wajinga sana ikiwemo na mifumo yao.... nchi hii haiwezi ku-accomodate wageni wakubwa kutokana na ujinga wetu, wageni wengi wana opt kwenda Rwanda

Ukiona wageni hawabishi hodi kwako hata majirani lazima ujiulize,

Nchi zote zinazotuzunguka anazitembelea kasoro DRC, Uganda na Tanzania.... IShowSpeed atapita Kenya, Rwanda, Zambia, Mozambique.... why not Tanzania, jiulize na bichwa lako
 
Nchi zote zinazotuzunguka anazitembelea kasoro DRC, Uganda na Tanzania.... IShowSpeed atapita Kenya, Rwanda, Zambia, Mozambique.... why not Tanzania, jiulize na kichwa
 
Wewe kwa Akili zako unahisi IShowSpeed ni Mbosso au Diamond Platnumz.... Tour yake tu ni Promo tosha dunia nzima,

Ku-opt out Tanzania na Uganda ni kwa sababu wananchi wa hizi nchi ni wajinga sana ikiwemo na mifumo yao.... nchi hii haiwezi ku-accomodate wageni wakubwa kutokana na ujinga wetu, wageni wengi wana opt kwenda Rwanda

Ukiona wageni hawabishi hodi kwako hata majirani lazima ujiulize,

Nchi zote zinazotuzunguka anazitembelea kasoro DRC, Uganda na Tanzania.... IShowSpeed atapita Kenya, Rwanda, Zambia, Mozambique.... why not Tanzania, jiulize na bichwa lako
Kwanza elewa huwa sijadili matusi au lugha isiyofaa kwasababu hisia hazimalizi mjadala.

Africa ina nchi 54.
Kwahiyo nchi 34 zote ambazo hatembelei zina changamoto ya kimfumo?
 
Hilo swali ulitakiwa ujijibu wewe wenyewe.... Tanzania sio nchi ya kutemwa hapa Afrika, nchi inakila kitu, maziwa, mbuga, wanyama, milima, historia ya kale ikiwemo mabaki ya Sokwe mtu "Zinjanthropus", tuna bahari, visiwa.

Sisi ni nchi ya kukosa fursa za wageni kweli?

Hizo nchi zilizobaki si ni nchi mbovu, unafuraiaje kubaki pamoja na Somali, Sudan, eritrea, Mauritania, gabon... nchi zote zilizobaki ni mbovu sana
 
Uko sahihi kwamba jamaa angechochea utalii kwa asilimia kubwa kulingana na followers wake.

Lakini sisi kutojumuishwa kwenye tour si kipimo cha ubora wa taifa, ni hesabu zake za logistics, uratibu na ufanisi wa tour.

Na personal preferences zinachangia.
 
Here are African countries where Elon Musk’s Starlink satellite internet service is available (Starlink is the SpaceX-owned system that beams internet from low-orbit satellites):
• Nigeria — live since 2023.
• Kenya — live since 2023.
• Rwanda — live since 2023.
• Mozambique — live since 2023.
• Malawi — live since 2023.
• Botswana — live since 2023.
• Benin — live since 2023.
• Zambia — live since 2023.
• Eswatini — live since 2023.
• Sierra Leone — available as part of global rollout.
• South Sudan — available.
• Madagascar — available.
• Ghana — available.
• Zimbabwe — approved and available.
• Burundi — available.
• Niger — launched in 2025.
• Liberia — available.
• Somalia — licensed and active.
• Lesotho — licensed and running.
 
Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa Intaneti na maarufu zaidi duniani.

Watkins anajulikana kwa tabia yake ya kihisia, zenye kutumia nguvu na michezo ya kuigiza anayoonesha katika matangazo yake ya moja kwa moja (Live Stream) ya aina mbalimbali, pamoja na matangazo yake ya maisha halisi (IRL) anayofanya katika maeneo mbalimbali duniani. Pia amekuwa akionekana kama balozi wa utamaduni, kwani ziara zake katika nchi tofauti mara nyingi huonyesha tamaduni, ubunifu na maisha ya watu wa maeneo hayo kwa watazamaji wa ndani na wa kimataifa.

View: https://www.instagram.com/reel/DSh5C2iErUe/?igsh=dHo4bzRqNHVoM2Jj

Siku ya Jana IShowSpeed alirusha kipande cha video yake inayoonesha tangazo la Tour anayepanga kuifanya barani Africa. Tangazo hili lilizua gumzo kwa Waafrica wengi na duniani ambapo Africa mara nyingi uonekane kusahaulika katika matukio ya kidunia. Generation Z huyo amekuwa kivutio cha Youtuber na streamers wengi ambao wanatamani kuwa kama yeye. Hata hivyo katika Tour yake hiyo ya Africa atatembelea Nchi 20 tu, huku kwa Ukanda wa Africa Mashariki akitembelea Rwanda na Kenya. Tanzania uonekana kama Nchi inayozidi kufubaa badala ya kupiga hatua za kimaendeleo na kuvutia wageni. Badala yake wageni wengi sasa wamekuwa wakienda Rwanda kama mbadala wa Tanzania katika ukanda huu. Jambo linalonyima fursa za kigeni wajasirimali wetu na enterntainers wetu kujulikana zaidi. Tulitegemea IShowSpeed atakutana na kina Kiredio na Influencers wengine kujenga uzoefu na kupeana deals lakini jambo hilo limekuwa gumu kwa Nchi yetu kwenye hii Tour ya IShowSpeed.

Kwa AFRIKA MASHARIKI na majirani zetu atapita
1. Kenya
2. Rwanda
3. Zambia
4. Mozambique (Msumbiji)

Nchi za ukanda huu zikizoachwa ni
1. Tanzania
2. Uganda
3. DRC
4. Somalia
5. South Sudan

View attachment 3519031

Vitu vingine bana!.. acheni ucenge
 
Hata angekuja ingemsaidia nini maskin wa kule namtumbo
 
Here are African countries where Elon Musk’s Starlink satellite internet service is available (Starlink is the SpaceX-owned system that beams internet from low-orbit satellites):
• Nigeria — live since 2023.
• Kenya — live since 2023.
• Rwanda — live since 2023.
• Mozambique — live since 2023.
• Malawi — live since 2023.
• Botswana — live since 2023.
• Benin — live since 2023.
• Zambia — live since 2023.
• Eswatini — live since 2023.
• Sierra Leone — available as part of global rollout.
• South Sudan — available.
• Madagascar — available.
• Ghana — available.
• Zimbabwe — approved and available.
• Burundi — available.
• Niger — launched in 2025.
• Liberia — available.
• Somalia — licensed and active.
• Lesotho — licensed and running.
Senegal, Angola, Ivory Coast, n.k zote hazina StarLink, lakini Mwamba anapita nchi hizo...

Hapo issue ni mifumo tu, mfano TikTok imefungwa mpaka uwe na VPN, sijui mambo ya vibali, bado utekaji, n.k

Issue haiwezi kuwa internet tu
 
Hata angekuja ingemsaidia nini maskin wa kule namtumbo
Hujui chochote kuhusu haya mambo, kaendelee kula ugoro na kucheza na wajukuu... faida za kuja kwa huyu waachie Gen Z na watu wanaojua mambo ya mitandao na utalii kupitia mitandao
 
Back
Top Bottom