Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

Umempa za uso,atumie mapumziko ya krismasi kujitafakari
Muda mwingine Sina budi kufanya hivyo hili aelewe 😁😁😁... wabongo wengi ni siasa tu ndio tunajua, mambo ya kidunia tuko Zero...
 
Huyu janjaro ana miaka 2o tu, lakini influence yake ni ya dunia nzima.... akisema apigie promo TZ hizo mbuga zenu mbona zingefurika watalii, huko zanzibar mbona wangemiminika. Shida ni kuwa uzee umekuandama, unajua kujenga Nchi ni kusomea ualimu na kuajiriwa tu. Haujui Nchi inahitaji fedha za kigeni hili kuimarika kiuchumi

Nilikuwa na wewe mpaka niliposoma hii part.
We don't need more adverts for Serengeti or Zanzibar. Kwa kifupi we need to reduce the number of the visitors in our country for different reasons. Vile tu tunaongozwa na watu wasio na akili na wenye tamaa, lakini sera ya kupunguza msongamano wa wageni ilikuwepo hapo zamani ndio maana utalii ni bei ghali sana Tanzania, kwa kifupi kwa bei tunashika namba 2 baada ya visiwa vya Indian ocean kama Mauritius au Seychelles.
Hatuhitaji watalii wengi, tunatakiwa kuwa na watalii wachache lakini wanaingiza faida kubwa. Lini mara ya mwisho umeenda mbugani? Mimi nilikuwa huko mwaka jana na nimeingiwa na uoga, watalii ni wengi na wanaharibu mazingira na watu wanachojari ni pesa tu. Nenda Mikumi national park leo ukaone, sio ile ya mwaka 1995, everything changed
 
Hilo swali ulitakiwa ujijibu wewe wenyewe.... Tanzania sio nchi ya kutemwa hapa Afrika, nchi inakila kitu, maziwa, mbuga, wanyama, milima, historia ya kale ikiwemo mabaki ya Sokwe mtu "Zinjanthropus", tuna bahari, visiwa.

Sisi ni nchi ya kukosa fursa za wageni kweli?

Hizo nchi zilizobaki si ni nchi mbovu, unafuraiaje kubaki pamoja na Somali, Sudan, eritrea, Mauritania, gabon... nchi zote zilizobaki ni mbovu sana
Usimpangie huyo dogo.
Yeye kaamua kwenda nchi hizo kulingana na schedule of preference.
Wewe unakomaza komwe lako kuizodoa nchi yako.
Pengine huyo chalii hata hanaijui na hafikirii kuifahamu Tanzania.
Kuwa na akili kidogo basi.
 
Vitu vingine bana!.. acheni ucenge
🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona ee?!!! Yaani amejipinda mwenyewe kushusha thread hapa akiwa na lengo la kuwaaminisha mburura wenzie, yaani haters wa Samia, kuwa mama amekwama (Hali mbaya). Yaani mpaka 2030 haters wa Samia wote watakuwa wanaugua kifaduro.
 
Nilikuwa na wewe mpaka niliposoma hii part.
We don't need more adverts for Serengeti or Zanzibar. Kwa kifupi we need to reduce the number of the visitors in our country for different reasons. Vile tu tunaongozwa na watu wasio na akili na wenye tamaa, lakini sera ya kupunguza msongamano wa wageni ilikuwepo hapo zamani ndio maana utalii ni bei ghali sana Tanzania, kwa kifupi kwa bei tunashika namba 2 baada ya visiwa vya Indian ocean kama Mauritius au Seychelles.
Hatuhitaji watalii wengi, tunatakiwa kuwa na watalii wachache lakini wanaingiza faida kubwa. Lini mara ya mwisho umeenda mbugani? Mimi nilikuwa huko mwaka jana na nimeingiwa na uoga, watalii ni wengi na wanaharibu mazingira na watu wanachojari ni pesa tu. Nenda Mikumi national park leo ukaone, sio ile ya mwaka 1995, everything changed

Yes umezungumza vizuri...

Lakini uchumi huko hivi "The High The Demand, The High The Price"

Bei na gharama za utalii aziongezeki kwa sababu ya kupunguza watalii, bei ya service na kila kitu inaongezeka kwa ajili ya demand yani ongezeko la uhitaji wa watu kupata hiyo bidhaa... same applied hata fluctuation ya bei za bidhaa masokoni...

Kusema kwamba watalii wengi wanaharibu mbuga zetu sio kweli... Mbuga zetu zinaribiwa na Sheria mbovu za uendeshaji wa mbuga hizo pamoja na usimamizi mbovu.

Sheria inasema hakuna kushuka kwenye Gari, dereva bado anaruhusu watalii kushuka, sheria inasema husiingie na kitu chochote mbugani mfano vyakula au kutupa Taka... bado watu wanatupa Taka huku Tour Guide wakiwaangalia kisa tu wanataka kupewa Tip kubwa...

Watalii hawaathiri mbuga zetu, bado usimamizi mbovu tu. Sheria kali zikiwekwa na kufuatwa, mbona hali inakaa vizuri... labda Rushwa ije kuharibu
 
Usimpangie huyo dogo.
Yeye kaamua kwenda nchi hizo kulingana na schedule of preference.
Wewe unakomaza komwe lako kuizodoa nchi yako.
Pengine huyo chalii hata hanaijui na hafikirii kuifahamu Tanzania.
Kuwa na akili kidogo basi.
We nae umekurupuka ngiri aliyemuona simba mwenye njaa...

Nani kasema anampangia IShowSpeed sehemu ya kwenda... sisi tuko hapa kuzungumzia ni namna gani tumekosa fursa kama hiyo ya dogo kuja nchini kwetu na kututangazia nchi, na nini tufanye kuboresha hili siku nyingine mtalii au mtu maarufu kama huyo akitokea basi aiweke Tanzania kwenye Bucketlist yake... wewe unaleta Mipasho na Taarabu hapa, Nani kakwambia tunampangia
 
Nilikuwa na wewe mpaka niliposoma hii part.
We don't need more adverts for Serengeti or Zanzibar. Kwa kifupi we need to reduce the number of the visitors in our country for different reasons. Vile tu tunaongozwa na watu wasio na akili na wenye tamaa, lakini sera ya kupunguza msongamano wa wageni ilikuwepo hapo zamani ndio maana utalii ni bei ghali sana Tanzania, kwa kifupi kwa bei tunashika namba 2 baada ya visiwa vya Indian ocean kama Mauritius au Seychelles.
Hatuhitaji watalii wengi, tunatakiwa kuwa na watalii wachache lakini wanaingiza faida kubwa. Lini mara ya mwisho umeenda mbugani? Mimi nilikuwa huko mwaka jana na nimeingiwa na uoga, watalii ni wengi na wanaharibu mazingira na watu wanachojari ni pesa tu. Nenda Mikumi national park leo ukaone, sio ile ya mwaka 1995, everything changed
Ubarikiwe sana kwa kumuelimisha huyo mburura, yaani hater wa Samia. Kwao (haters) Kila kitu ni fursa ya kumshambulia Samia
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona ee?!!! Yaani amejipinda mwenyewe kushusha thread hapa akiwa na lengo la kuwaaminisha mburura wenzie, yaani haters wa Samia, kuwa mama amekwama (Hali mbaya). Yaani mpaka 2030 haters wa Samia wote watakuwa wanaugua kifaduro.
Ndio nilikuwa na waambia wana JF wengine hapo juu... wajinga wajinga wengi kama wewe hawajui chochote hapa Bongo zaidi ya Mitano tena, kuimba mapambio na kugeuza kila shutuma kuwa ni Jambo la kisiasa.

Unaanza kuleta mambo ya mitano tena hapa.... badala ya kwenda kuwashauri wanaCCM wenzako waijenge nchi na kuleta watalii kama kina IShowSpeed, badala yake ndio mnaiua kwa uchawa wenu wa Mitano 5... Siasa nzuri sio kuleta mapambio ya Taarabu, Siasa nzuri ni kuleta hapa Success za Chama chako nini kimefanya na kwa nini kina stahili kuendelea kuaminika... na sio kuniletea Ngojera za kiswahili hapa et "Haters wa Samia", Nani kakwambia mimi namchukia Samia
 
Ubarikiwe sana kwa kumuelimisha huyo mburura, yaani hater wa Samia. Kwao (haters) Kila kitu ni fursa ya kumshambulia Samia
Kubwa jinga kweli wewe... Angalia siasa isije kukutatua marinda, Penda siasa kwa kuitumikia kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa nchi yako, na si kuleta Taarabu na Mipasho kama ya Isha Mashauzi... ukiendekeza uchawa utatatuliwa na hao mabosi zako, tengeneza legacy hili nawe ulete maendeleo, tukukumbuke kama mtu chanya na sio muimba taarabu Jamiiforum
 
Yes umezungumza vizuri...

Lakini uchumi huko hivi "The High The Demand, The High The Price"

Bei na gharama za utalii aziongezeki kwa sababu ya kupunguza watalii, bei ya service na kila kitu inaongezeka kwa ajili ya demand yani ongezeko la uhitaji wa watu kupata hiyo bidhaa... same applied hata fluctuation ya bei za bidhaa masokoni...

Kusema kwamba watalii wengi wanaharibu mbuga zetu sio kweli... Mbuga zetu zinaribiwa na Sheria mbovu za uendeshaji wa mbuga hizo pamoja na usimamizi mbovu.

Sheria inasema hakuna kushuka kwenye Gari, dereva bado anaruhusu watalii kushuka, sheria inasema husiingie na kitu chochote mbugani mfano vyakula au kutupa Taka... bado watu wanatupa Taka huku Tour Guide wakiwaangalia kisa tu wanataka kupewa Tip kubwa...

Watalii hawaathiri mbuga zetu, bado usimamizi mbovu tu. Sheria kali zikiwekwa na kufuatwa, mbona hali inakaa vizuri... labda Rushwa ije kuharibu

You're right, lakini demand and supply doesn't apply kwenye sera ya utalii na utamaduni wa Tanzania.
Bei ya juu kwa wageni kuingia Tanzania si ya juzi bali ilikuwepo tangu enzi za Mwalimu lengo likiwa kupunguza msongamano mbugani na Tanzania kwa ujumla. Wazungu wanapewa kupaumbele sasa lakini wazee wetu walijitahidi sana kuwaweka mbali kwasababu waliwajua vizuri, they're coons and bad influence to our society, in short nothing good comes from them.
It's too deep lakini tuache tu
 
We nae umekurupuka ngiri aliyemuona simba mwenye njaa...

Nani kasema anampangia IShowSpeed sehemu ya kwenda... sisi tuko hapa kuzungumzia ni namna gani tumekosa fursa kama hiyo ya dogo kuja nchini kwetu na kututangazia nchi, na nini tufanye kuboresha hili siku nyingine mtalii au mtu maarufu kama huyo akitokea basi aiweke Tanzania kwenye Bucketlist yake... wewe unaleta Mipasho na Taarabu hapa, Nani kakwambia tunampangia
Msingi wa malalamiko yako ni upi sasa make dogo keshafanya maamuzi tayari.
Yule sio mmatumbi kusema atapitia hapa JF asome kisha abadili ratiba yake kienyeji.
 
Yani wewe mtoa mada katika watu wote maarufu waliowahi kuja kutalii africa na hawakuja tanzania umeona kutokuja kwa huyo dogo ndio hasara kwa nchi, wewe sijui kama haya ni mawazo yako tu au umetumwa au unafuata mkumbo ila hebu kuwa serious je hao watu maarufu waliowahi kuja wameisaidia nini nchi mpaka sasa, walishakuja kina will smith, david beckham, pedri, achraf hakimi, na wengine kibao je unadhani followers wao hawakujua kuwa hao watu walikuja tanzania vipi kama walijua ila bado hawakushawishika

Wewe kabla hujataka watalii waje kuitangaza na kuiboresha nchi yako hakikisha wewe mwenyewe kwanza umeitangaza na umeiboresha kwa kutumia rasilimali zako, kwa rasilimali tulizonazo tanzania sisi siyo wa kulilia hako katoto eti kisa hakajaja nchini kwetu labda kwako wewe huyo ndio unamuona mtu maarufu zaidi, ila sisi wadau wengine tunaofuatilia haya mambo tunaamini kuna watu wengi maarufu ambao tunaweza kusema hao hata siku wakija tanzania basi nchi inaweza kupay attention na dunia itatufahamu ila siyo huyo dogo usifikiri wewe tu ndio unamfahamu

Pamoja na vurugu zote zilizotokea lakini mpaka sasa utalii ndio sector inayoongoza kuiingizia nchi mapato ila bado inasikitisha nchi kama tanzania kulilia mapato ya utalii pekee, ilihali tunaacha mafisadi yanabinafsisha rasilimali za nchi kwa faida zao wenyewe na siyo kwa faida ya nchi yani badala ya kupambania rasilimali zetu kwanza zitunufaishe kuijenga nchi yetu ili watalii waje kwa wingi mnajipendekeza mpaka kwa watoto eti waje kutembelea nchi yetu, mkishafikia hatua hiyo kama nchi ni aibu usikute hata hizo nchi anazoenda kutembelea kuna ambazo hawajui hata kama anaenda kwao na wala hawajali hata kuhusu uwepo wake mfano nigeria, kenya, south africa, namibia, nk tayari ni nchi zinazojulikana duniani je unadhani walihitaji watu kama kina ishowspeed watatangazie nchi ili wajulikane
 
Kubwa jinga kweli wewe... Angalia siasa isije kukutatua marinda, Penda siasa kwa kuitumikia kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa nchi yako, na si kuleta Taarabu na Mipasho kama ya Isha Mashauzi... ukiendekeza uchawa utatatuliwa na hao mabosi zako, tengeneza legacy hili nawe ulete maendeleo, tukukumbuke kama mtu chanya na sio muimba taarabu Jamiiforum
Mkuu legacy ya familia yangu nimeshaitengeneza tayari kwa kutumia riziki ndogo kutoka kwa Muumba hivyo Wala sina chuki za kishoga shoga kama nyie. Napiga korosho na mbaazi liwale Huku kama sina akili nzuri, we endelea kupambana na Samia kwa kutumia hao mashoga🤣🤣🤣
Ukifanikiwa tutakuja kukupongeza Haina noma.
 
Kubwa jinga kweli wewe... Angalia siasa isije kukutatua marinda, Penda siasa kwa kuitumikia kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa nchi yako, na si kuleta Taarabu na Mipasho kama ya Isha Mashauzi... ukiendekeza uchawa utatatuliwa na hao mabosi zako, tengeneza legacy hili nawe ulete maendeleo, tukukumbuke kama mtu chanya na sio muimba taarabu Jamiiforum
Naona umekasirika kweli baada ya kuona mfirwaji mwenzio hatotia mguu hapa, sio?!!
 
Msingi wa malalamiko yako ni upi sasa make dogo keshafanya maamuzi tayari.
Yule sio mmatumbi kusema atapitia hapa JF asome kisha abadili ratiba yake kienyeji.
Msingi wa malalamiko yangu ni watanzania muache kuwa na Ignorance na ujinga.

Nchii inazidi kurudi nyuma, badala ya kuwa kinara wa kuvutia wawekezaji... mmekalia Ignorance na ujuaji nchi ikiendelea kurudi nyuma, Rwanda anatuzidi sasa
 
Back
Top Bottom