Pia ukitengwa jitafakari sana... Tanzania haikuwa nchi ya kutengwa... tegemea miaka ijayo Rwanda na Kenya kuzidi kuwa bora zaidi, kama tusiporekebisha makosa yetu katika mifumoUko sahihi kwamba jamaa angechochea utalii kwa asilimia kubwa hata mara 30 zaidi ya Royal tour.
Lakini sisi kutojumuishwa kwenye tour si kipimo cha ubora wa taifa, ni hesabu zake za logistics, uratibu na ufanisi wa tour.
Tanzania pamoja na nchi nyingine ambazo hatakwenda zina rasilimali nyingi lakini zina changamoto fulani za kurahisisha mchakato wa tour kama hizi.
Lakini pia hata personal preferences zinachangia.
Nimekuuliza swali dogo, uwepo wake unsaidia nini mkulima wa kule nyamahele mtwara...Hujui chochote kuhusu haya mambo, kaendelee kula ugoro na kucheza na wajukuu... faida za kuja kwa huyu waachie Gen Z na watu wanaojua mambo ya mitandao na utalii kupitia mitandao
Sahihi, Mamia ya watu kama hawa wakiikwepa Tanzania for decades wakawa wanaenda huko kwingine, huenda tutapigwa gap refu sana kwenye pesa za kigeni.Pia ukitengwa jitafakari sana... Tanzania haikuwa nchi ya kutengwa... tegemea miaka ijayo Rwanda na Kenya kuzidi kuwa bora zaidi, kama tusiporekebisha makosa yetu katika mifumo
Umesema itakuwa ni hesabu za logistics, uratibu na ufanisi... maana yake ni kuwa Tanzania ni mbovu kuwezesha safari ya Tour yake kuwa nzuri
Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa Intaneti na maarufu zaidi duniani.
Watkins anajulikana kwa tabia yake ya kihisia, zenye kutumia nguvu na michezo ya kuigiza anayoonesha katika matangazo yake ya moja kwa moja (Live Stream) ya aina mbalimbali, pamoja na matangazo yake ya maisha halisi (IRL) anayofanya katika maeneo mbalimbali duniani. Pia amekuwa akionekana kama balozi wa utamaduni, kwani ziara zake katika nchi tofauti mara nyingi huonyesha tamaduni, ubunifu na maisha ya watu wa maeneo hayo kwa watazamaji wa ndani na wa kimataifa.
View: https://www.instagram.com/reel/DSh5C2iErUe/?igsh=dHo4bzRqNHVoM2Jj
Siku ya Jana IShowSpeed alirusha kipande cha video yake inayoonesha tangazo la Tour anayepanga kuifanya barani Africa. Tangazo hili lilizua gumzo kwa Waafrica wengi na duniani ambapo Africa mara nyingi uonekane kusahaulika katika matukio ya kidunia. Generation Z huyo amekuwa kivutio cha Youtuber na streamers wengi ambao wanatamani kuwa kama yeye. Hata hivyo katika Tour yake hiyo ya Africa atatembelea Nchi 20 tu, huku kwa Ukanda wa Africa Mashariki akitembelea Rwanda na Kenya. Tanzania uonekana kama Nchi inayozidi kufubaa badala ya kupiga hatua za kimaendeleo na kuvutia wageni. Badala yake wageni wengi sasa wamekuwa wakienda Rwanda kama mbadala wa Tanzania katika ukanda huu. Jambo linalonyima fursa za kigeni wajasirimali wetu na enterntainers wetu kujulikana zaidi. Tulitegemea IShowSpeed atakutana na kina Kiredio na Influencers wengine kujenga uzoefu na kupeana deals lakini jambo hilo limekuwa gumu kwa Nchi yetu kwenye hii Tour ya IShowSpeed.
Kwa AFRIKA MASHARIKI na majirani zetu atapita
1. Kenya
2. Rwanda
3. Zambia
4. Mozambique (Msumbiji)
Nchi za ukanda huu zilizoachwa ni
1. Tanzania
2. Uganda
3. DRC
4. Somalia
5. South Sudan
6. Burundi
View attachment 3519031

Kaka acha hizo amani yetu ni kipaumbele namba 1, 2, 3, 4, 5, 6, na 7. Tusipopata watalii kutoka Magharibi tutapata wale kutoka Asia tukiwa salama. Watali nini bhana; watakuja tu watake wasitake kwakuwa Tanzania kuna mavit mengi ya kitalii kuliko hizo nchi zote kwa pamoja. Kuna mzungu hapendi fukwe za Zanzibar na mambo yake?, Mlima Kilimanjaro ni mmoja tu na uko Tanzania. Pori la Selous ni moja tu na liko Tz, Serengeti ni moja tu duniani na iko tz. Watalii waliowahikuja Tz lazima watapenda kuja tz tena na watu wao, kama sio leo basi kesho. Watakuja wenyewe bila huyo dogo.Wewe hata uelewa wako kwenye mambo ya Dunia ni Zero, nyie ndio mmekalia mama samuya mitano 5.
Huyu janjaro ana miaka 2o tu, lakini influence yake ni ya dunia nzima.... akisema apigie promo TZ hizo mbuga zenu mbona zingefurika watalii, huko zanzibar mbona wangemiminika. Shida ni kuwa uzee umekuandama, unajua kujenga Nchi ni kusomea ualimu na kuajiriwa tu. Haujui Nchi inahitaji fedha za kigeni hili kuimarika kiuchumi.
Nchi kama Rwanda inaweka Visit Rwanda kwenye matangazo ya EPL na Jezi za Ulaya lengo ni kuvutia utalii na biashara. Wewe umekaa tu hapo unasema "Tupambane tujijenge wenyewe", hakuna nchi inayojijenga yenyewe bila kuwa na external source (watalii na wawekezaji wa nje), Elon Musk unadhani anakuja kwenye nchi dhaifu iliyojaa wajinga kama wewe, Elon Musk anabidhaa zake hapo kenya hata Starlink yake inafanya kazi kenya, alafu wewe umebaki hapo kusema angekuja Elon... haya sasa I show speed kachagua Rwanda na Kenya, bado unaleta ukenge.
Sasa hivi Rwanda inapata watalii na kuvutia wawekezaji kuliko Tanzania wakati haina cha maana ukitoa wale Sokwe (Silverback Gorillas). Nchi yenyewe imepata uhuru juzi tu, ujinga wenu wa watu kama wewe na dharau ndio zinaiua Tanzania kuwa nchi bora Afrika Mashariki
Zambia, Eswatini na Zimbabwe ni mfano mzuri tu... hizo nchi hazijatuzidi chochote na jamaa anaenda kutembea... swala kubwa pia ni usalama, Tanzania ina record mbaya ya Mauaji ya raia na mchafuko wa kisiasa... wazungu wanaangalia usalama kwanza kabla ya chochoteSahihi, Mamia ya watu kama hawa wakiikwepa Tanzania for decades wakawa wanaenda huko kwingine, huenda tutapigwa gap refu sana kwenye pesa za kigeni.
Lakini pia zingatia: Nchi inaweza kuwa na rasilimali zote nzuri (milima, bahari au historia) lakini ikiwa miundombinu haiko kwenye kiwango cha kimataifa ni ngumu kuendesha event kubwa kubwa.
Ndio maana nasema ata nikukuelezea uwezi kuelewa haya mambo yamekaa zaidi kwa watu wa generation ya sasa, na si wazeee... ungekuwa unajua chochote ungeshanielewa toka nilivyoandika kwenye uziNimekuuliza swali dogo, uwepo wake unsaidia nini mkulima wa kule nyamahele mtwara...
Hili povu ni sabuni ya unga halafu jeupee linafaa kutakatisha ubongo kama wa mpumbavu uliyemjibu. Safi sanaWewe hata uelewa wako kwenye mambo ya Dunia ni Zero, nyie ndio mmekalia mama samuya mitano 5.
Huyu janjaro ana miaka 2o tu, lakini influence yake ni ya dunia nzima.... akisema apigie promo TZ hizo mbuga zenu mbona zingefurika watalii, huko zanzibar mbona wangemiminika. Shida ni kuwa uzee umekuandama, unajua kujenga Nchi ni kusomea ualimu na kuajiriwa tu. Haujui Nchi inahitaji fedha za kigeni hili kuimarika kiuchumi.
Nchi kama Rwanda inaweka Visit Rwanda kwenye matangazo ya EPL na Jezi za Ulaya lengo ni kuvutia utalii na biashara. Wewe umekaa tu hapo unasema "Tupambane tujijenge wenyewe", hakuna nchi inayojijenga yenyewe bila kuwa na external source (watalii na wawekezaji wa nje), Elon Musk unadhani anakuja kwenye nchi dhaifu iliyojaa wajinga kama wewe, Elon Musk anabidhaa zake hapo kenya hata Starlink yake inafanya kazi kenya, alafu wewe umebaki hapo kusema angekuja Elon... haya sasa I show speed kachagua Rwanda na Kenya, bado unaleta ukenge.
Sasa hivi Rwanda inapata watalii na kuvutia wawekezaji kuliko Tanzania wakati haina cha maana ukitoa wale Sokwe (Silverback Gorillas). Nchi yenyewe imepata uhuru juzi tu, ujinga wenu wa watu kama wewe na dharau ndio zinaiua Tanzania kuwa nchi bora Afrika Mashariki
Ni kwamba tu hujui chochote... kwanza nikwambie tu Tanzania haimsaidii chochote na ndio maana kaipiga chini, ametajirika na kupata umaarufu hata bila Jina Tanzania...Hii sio story kuubwaa kwetu. Tanzania ina vivutio vingi vya kitalii kuliko nchi zote hivi. Hasara iko kwake na kwa watu wake kama hawatafika kwenye vivutio vya Tanzania. Ni heri tukose watalii kuliko mambo ya kiseng wanayotaka tufanye. To hell!!!
Bado unaishi kwenye Ignorance na Ujinga, wewe Nani kakwambia watalii wanakuja kuaharibu Amani, au kuna mtalii alikuja kupiga watu risasi kwenye maandamano...Kaka acha hizo amani yetu ni kipaumbele namba 1, 2, 3, 4, 5, 6, na 7. Tusipopata watalii kutoka Magharibi tutapata wale kutoka Asia tukiwa salama. Watali nini bhana; watakuja tu watake wasitake kwakuwa Tanzania kuna mavit mengi ya kitalii kuliko hizo nchi zote kwa pamoja. Kuna mzungu hapendi fukwe za Zanzibar na mambo yake?, Mlima Kilimanjaro ni mmoja tu na uko Tanzania. Pori la Selous ni moja tu na liko Tz, Serengeti ni moja tu duniani na iko tz. Watalii waliowahikuja Tz lazima watapenda kuja tz tena na watu wao, kama sio leo basi kesho. Watakuja wenyewe bila huyo dogo.
Hata hivyo sasa hivi akili yetu tunataka kujikita zaidi kwenye madini adimu, gas, bandari na kilimo kama shughuli zetu kuu za kutupatia mapesa.
Umempa za uso,atumie mapumziko ya krismasi kujitafakariWewe hata uelewa wako kwenye mambo ya Dunia ni Zero, nyie ndio mmekalia mama samuya mitano 5.
Huyu janjaro ana miaka 2o tu, lakini influence yake ni ya dunia nzima.... akisema apigie promo TZ hizo mbuga zenu mbona zingefurika watalii, huko zanzibar mbona wangemiminika. Shida ni kuwa uzee umekuandama, unajua kujenga Nchi ni kusomea ualimu na kuajiriwa tu. Haujui Nchi inahitaji fedha za kigeni hili kuimarika kiuchumi.
Nchi kama Rwanda inaweka Visit Rwanda kwenye matangazo ya EPL na Jezi za Ulaya lengo ni kuvutia utalii na biashara. Wewe umekaa tu hapo unasema "Tupambane tujijenge wenyewe", hakuna nchi inayojijenga yenyewe bila kuwa na external source (watalii na wawekezaji wa nje), Elon Musk unadhani anakuja kwenye nchi dhaifu iliyojaa wajinga kama wewe, Elon Musk anabidhaa zake hapo kenya hata Starlink yake inafanya kazi kenya, alafu wewe umebaki hapo kusema angekuja Elon... haya sasa I show speed kachagua Rwanda na Kenya, bado unaleta ukenge.
Sasa hivi Rwanda inapata watalii na kuvutia wawekezaji kuliko Tanzania wakati haina cha maana ukitoa wale Sokwe (Silverback Gorillas). Nchi yenyewe imepata uhuru juzi tu, ujinga wenu wa watu kama wewe na dharau ndio zinaiua Tanzania kuwa nchi bora Afrika Mashariki
Bro 😁😁😁 ni kazi sana kuelewesha watu ambao bado wako kwenye zama za ujinga, kwenye Dunia ya leoHili povu ni sabuni ya unga halafu jeupee linafaa kutakatisha ubongo kama wa mpumbavu uliyemjibu. Safi sana