Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

Mtu aniambie hasara za kutokuja huyo mshkaji Tanzania,
Faida ya kuja huyo jamaa ni kubwa kuliko hasara...

Uwezi kupata hasara ila unazorotesha ukuaji wa nchi, ukilinganisha na nchi atakazotembelea
 
Mkuu hakuna hasara yoyote ni makuzi tu. Huyo jamaa fans wake ni watoto wa miaka 10 na 12, sisi wazee wazima kumjadili huyu ADHD na matusi yote haya nashangaa sana
Wewe utakuwa na Bipolar Mania... sasa Nani alikuambia humu watoto wanaruhusiwa... JF haina parental guidance, hivyo wote humu watu wazima... utofauti ni kuwa wengi humu ni wajinga wajinga wasiojua Dunia wanayoishi inataka nini, Wao wamekalia mitano tena
 
Mkuu legacy ya familia yangu nimeshaitengeneza tayari kwa kutumia riziki ndogo kutoka kwa Muumba hivyo Wala sina chuki za kishoga shoga kama nyie. Napiga korosho na mbaazi liwale Huku kama sina akili nzuri, we endelea kupambana na Samia kwa kutumia hao mashoga🤣🤣🤣
Ukifanikiwa tutakuja kukupongeza Haina noma.
Wewe lima sisi tuje kula hizo mbaazi...

Ndio maana Akili imekaa kama mbaazi, uwezo wa kufikiri ni sifuri, bado unaishi kwenye falsafa za Kilimo ni uti wa mgongo, wenzako wakikumbatia teknolojia... sishangai kuwa hujui hata umuhimu wa huyo jamaa kuja bongo, kumbe akili zinawaza kulima mbaazi na korosho 😁😁😁

ndio maana mnapangiwa bei za kuuza korosho na serikali, kwa sababu Akili hamna.
 
Naona umekasirika kweli baada ya kuona mfirwaji mwenzio hatotia mguu hapa, sio?!!
Wewe mlima mbaazi unadhani kila kitu ni ushoga tu, Akili zako zimejaa Feacal Material tu na mbaazi.

Ukiona mzungu tu, akili zinakimbilia kuzibuliwa tope... huna kingine positive

Mbona simu, TV, na radio zao unatumia... au zenyewe sio za hao unaowaita mashoga.... katengeneze TV na Simu zako za kutumia Mbaazi
 
Mleta uzi umeandika upuuzi wa hali ya juu. Yaani kama nchi tuache kufikiria mambo ya maana tumfikirie huyo dogo wa mambo ya burudani? Angalau angekuja nguli wa IT au fani nyingine ya kitaaluma ingekuwa na uzito hata kuhamasisha vijana kufanya bidii shuleni. Huyo SPEED kazi yake haina maana kwa maendeleo ya nchi zaidi ya kuchochea upuuzi. Kama unaangalia umaarufu peke yake fanya mpango aje Cherokee D'Azz kwa sababu na yeye ni maarufu kwenye fani yake.
 
Kwahiyo ni mzungu huyo?!!!!🤣🤣
 
Wewe lima sisi tuje kula hizo mbaazi...

Ndio maana Akili imekaa kama mbaazi, uwezo wa kufikiri ni sifuri, bado unaishi kwenye falsafa za Kilimo ni uti wa mgongo, wenzako wakikumbatia teknolojia... sishangai kuwa hujui hata umuhimu wa huyo jamaa kuja bongo, kumbe akili zinawaza kulima mbaazi na korosho 😁😁😁

ndio maana mnapangiwa bei za kuuza korosho na serikali, kwa sababu Akili hamna.
Oh, kumbe sehemu zingine wakulima wanajipangia tu bei eeh?!! Kama ingekuwa hivyo basi kilo ya karanga tungenunua Dola 10 bwege wewe. Haya, Kila la kheri katika harakati zako za kumtoa Samia. Si tupo tunasubiri kukupongeza mwamba.
 
Hawezi kuja na maji huyo kiufupi hana faida kwetu. Tupambaneni tujijenge wenyewe, hebu acheni kulishushia taifa thamani kulinganisha na huyo dogo, je angekuwa ni ElonMusk ungesemaje si ungegalagala kabisa.
Do you even understand what tf is going on here?
 
Faida ya kuja huyo jamaa ni kubwa kuliko hasara...

Uwezi kupata hasara ila unazorotesha ukuaji wa nchi, ukilinganisha na nchi atakazotembelea
😃Bro umeshasema hatuwez kupata hasara, hoja iishie hapo Tu. Inatosha
 
Msingi wa malalamiko yangu ni watanzania muache kuwa na Ignorance na ujinga.

Nchii inazidi kurudi nyuma, badala ya kuwa kinara wa kuvutia wawekezaji... mmekalia Ignorance na ujuaji nchi ikiendelea kurudi nyuma, Rwanda anatuzidi sasa
Hamia Rwanda basi kama una wivu nayo.

Watu kama nyie hujitia ujuaji mitandaoni tu.
Usikute hata familia yako mwenyewe inakushinda kuiongoza.

Unashutumu wengine kushindwa kuitangaza Nchi, jiulize wewe umechukua hatua zipi juu ya hilo?
 
Mleta uzi umeandika upuuzi wa hali ya juu. Yaani kama nchi tuache kufikiria mambo ya maana tumfikirie huyo dogo wa mambo ya burudani? Angalau angekuja nguli wa IT au fani nyingine ya kitaaluma ingekuwa na uzito hata kuhamasisha vijana kufanya bidii shuleni. Huyo SPEED kazi yake haina maana kwa maendeleo ya nchi zaidi ya kuchochea upuuzi. Kama unaangalia umaarufu peke yake fanya mpango aje Cherokee D'Azz kwa sababu na yeye ni maarufu kwenye fani yake.
Napata kazi sana kulezea watu wajinga na Ignorant kama wewe...

Kwamba akija nguli wa IT ndio atafundisha kila nchi nzima IT? Hili uelewe umuhimu wa huyu dogo, kwanza jua kazi yake ni nini na akitembea nchi hizo ataleta Impact gani... sio kutuletea porojo za IT, Mambo ya Taaluma hayafundishwi na mtu mmoja au mtalii mmmoja, swala la Taaluma ni jambo la Mtaala au Curriculum ya nchi nzima, ambayo ni Kazi ya serikali. Sasa ni IT gani duniani anayetoa pesa zake kuzunguka Dunia nzima kufundisha watu IT, wewe ukishawai kuona wapi?

Dogo ni Streamer na Youtuber, kuja kwake nchini angesaidia kufanya promo ya nchi yetu itambulike zaidi duniani kwa sababu jamaa ni Maarufu Dunia nzima... pili content creators wetu wangejifunza vitu vingi kujikuza na kujulikana zaidi kupitia yeye.... wewe unaleta Ignorance hapa na kuleta mambo ya Taaaluma sijui IT, nani kakwambia Taaluma inabidi isubiri mzungu aje ndio tujifunze au Mzungu anayejua IT ndio aje ndio watanzania wajifunze

Next time think big kabla ya kukurupuka
 
Wewe hata uelewa wako kwenye mambo ya Dunia ni Zero, nyie ndio mmekalia mama samuya mitano 5.

Huyu janjaro ana miaka 2o tu, lakini influence yake ni ya dunia nzima.... akisema apigie promo TZ hizo mbuga zenu mbona zingefurika watalii, huko zanzibar mbona wangemiminika. Shida ni kuwa uzee umekuandama, unajua kujenga Nchi ni kusomea ualimu na kuajiriwa tu. Haujui Nchi inahitaji fedha za kigeni hili kuimarika kiuchumi.

Nchi kama Rwanda inaweka Visit Rwanda kwenye matangazo ya EPL na Jezi za Ulaya lengo ni kuvutia utalii na biashara. Wewe umekaa tu hapo unasema "Tupambane tujijenge wenyewe", hakuna nchi inayojijenga yenyewe bila kuwa na external source (watalii na wawekezaji wa nje), Elon Musk unadhani anakuja kwenye nchi dhaifu iliyojaa wajinga kama wewe, Elon Musk anabidhaa zake hapo kenya hata Starlink yake inafanya kazi kenya, alafu wewe umebaki hapo kusema angekuja Elon... haya sasa I show speed kachagua Rwanda na Kenya, bado unaleta ukenge.

Sasa hivi Rwanda inapata watalii na kuvutia wawekezaji kuliko Tanzania wakati haina cha maana ukitoa wale Sokwe (Silverback Gorillas). Nchi yenyewe imepata uhuru juzi tu, ujinga wenu wa watu kama wewe na dharau ndio zinaiua Tanzania kuwa nchi bora Afrika Mashariki
Basi, basi kashakuelewa.
 
Oh, kumbe sehemu zingine wakulima wanajipangia tu bei eeh?!! Kama ingekuwa hivyo basi kilo ya karanga tungenunua Dola 10 bwege wewe. Haya, Kila la kheri katika harakati zako za kumtoa Samia. Si tupo tunasubiri kukupongeza mwamba.
Ndio maana tangu Mwanzo nakwambia Akili zako zimejaa ujinga

Nani hapa kasema hizi ni harakati za kumtoa Samia, mimi nazungumzia mambo ya IShowSpeed kuja Tanzania, wewe unaniletea mambo ya Samia hapa.... siku ukiacha ujinga mbaazi zitamea sana hapo shambani

Endelea kulima, akili zimekaa kikulima tu... nguvu nyingi akili kisoda
 
Back
Top Bottom