Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Sudani ya kusini...hahahaaHilo swali ulitakiwa ujijibu wewe wenyewe.... Tanzania sio nchi ya kutemwa hapa Afrika, nchi inakila kitu, maziwa, mbuga, wanyama, milima, historia ya kale ikiwemo mabaki ya Sokwe mtu "Zinjanthropus", tuna bahari, visiwa.
Sisi ni nchi ya kukosa fursa za wageni kweli?
Hizo nchi zilizobaki si ni nchi mbovu, unafuraiaje kubaki pamoja na Somali, Sudan, eritrea, Mauritania, gabon... nchi zote zilizobaki ni mbovu sana