Tanzania yatoa majibu na msimamo wake kwa Azimio la Bunge la Ulaya la Mei 8, 2025

Hivi chama tawala na wapinzani wanaweza kuwa na maridhiano ya aina gani na bado unadai KATIBA?
Huko ni kupambaza wananchi tu, ndo maana waliojiengua ni lile kundi la maridhiano waliokuwa wanakula hongo.
 
TAMKO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA ULAYA

Dar es Salaam, 8 Mei 2025

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea taarifa ya azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania ikiheshimu uhuru wa taasisi wa Bunge la Ulaya na kuthamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya, inaona ni muhimu kufafanua baadhi ya mambo ya msingi na kusisitiza tena dhamira yake ya muda mrefu ya kuzingatia misingi ya demokrasia, utawala bora, na sheria.

Tangu Machi 2021, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikitekeleza mageuzi ya kisiasa na kisheria kupitia dhana ya 4R – Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi, na Ujenzi Upya. Mageuzi haya yameleta mafanikio ya dhahiri ikiwa ni pamoja na kurejesha uhuru wa kisiasa, kupanua haki za kiraia, kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, na kupitishwa kwa sheria mpya za uchaguzi mwezi Machi 2024, zilizowezesha kuanzishwa kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa mujibu wa Katiba yake na utawala wa sheria. Masuala yote ya kisheria yanashughulikiwa kwa uhuru na mhimili wa Mahakama ambao ni miongoni mwa mihimili ya dola, kwa mujibu wa sheria za kitaifa na kwa kuzingatia viwango na kanuni bora za kimataifa, ambapo Serikali (Tawala) haina mamlaka ya kuingilia mashauri ya mahakama. Hivyo basi, matamko yoyote yanayodokeza au kuhamasisha Serikali kuingilia mashauri yanayoendelea mahakamani siyo tu kwamba hayafai, bali pia yanakwenda kinyume na misingi ya uhuru wa Mahakama kama ilivyobainishwa katika Katiba ya Tanzania na kama inavyohimizwa na Umoja wa Ulaya.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia ina wasiwasi na mwenendo unaojitokeza kwenye azimio la Bunge la Ulaya ambapo baadhi ya wadau wa kimataifa wanatoa maamuzi kwa msingi wa taarifa pungufu au zenye upendeleo, bila kupitia njia rasmi za kidiplomasia. Mtazamo huu unapotosha na kuwasilisha taswira isiyo sahihi kuhusu hali halisi ya mambo nchini.

Soma Pia: Hoja ya azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kukamatwa na hatari ya kunyongwa kwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema

Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba baadhi ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwemo mashauri mahususi ya kisheria, yanashughulikiwa kwa ukaguzi maalum, huku mafanikio makubwa katika maeneo kama uhuru wa vyombo vya habari, ushirikishwaji wa kisiasa, mageuzi ya uchaguzi, na ujenzi wa amani ya kikanda yakipuuzwa.

Wakati Tanzania ikiendelea kuheshimu haki na utu wa kila mtu kama ilivyoainishwa katika Katiba yake, ni muhimu kufafanua kuwa masuala yanayohusu mwelekeo wa kijinsia yameshaainishwa wazi ndani ya mfumo wa Katiba ya Tanzania, sheria za kitaifa, mila, na desturi za jamii. Tanzania inasisitiza kuwa ushirikiano wowote lazima ujengwe juu ya kuheshimiana kwa misingi ya maadili, ikiwa ni pamoja na kuheshimu mamlaka ya kikatiba, mifumo ya kisheria, na utambulisho wa kitaifa, huku ushirikiano wa baadaye ukilenga vipaumbele vya pamoja katika maendeleo, utawala, ukuaji wa uchumi, na ustawi wa watu.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuthamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya na iko tayari kwa mazungumzo ya wazi, yenye heshima, na yanayozingatia ushahidi kuhusu masuala ya maslahi na umuhimu wa pamoja. Hata hivyo, mazungumzo haya lazima yajengwe juu ya uwazi, usawa, kuheshimiana, na uelewa kamili wa uhuru wa taasisi za kila nchi, Katiba zake, pamoja na muktadha wa sheria na utamaduni wa kila taifa.

Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025, Serikali ya Tanzania inathibitisha tena dhamira yake ya kulinda amani, kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki, na kulinda haki na uhuru wa msingi wa wananchi wote kwa mujibu wa Katiba.

Tanzania inakaribisha kuendelea kwa msaada kutoka Umoja wa Ulaya na washirika wote wa kimataifa wanaojitokeza kwa nia njema na uelewa ulio sahihi kuhusu safari ya kidemokrasia ya nchi hii, na wako tayari kushirikiana na wale ambao bado hawajafahamu vya kutosha kuhusu maadili na utamaduni wa Kitanzania.

MWISHO

Imetolewa na:
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI – JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

View attachment 3328439
View attachment 3328440
Mbunge wa iringa alisikika akisema "unapoolewa usilale na chupi". Kutembeza bakuri haina tofauti na changudoa anayejiuza uko mitaani. Hivyo serikali ya CCM inabidi ivue chupi tu maana wenye nyumba - watoa pesa wamesema
 
Rais SSH kwenye suala hili awe mwangalifu Sana kuchagua upande wa kuegemea, asiwasikilize Wala asifuate Misimamo ya hawa Watu ambao wanaonekana kuwa Wanajipendekeza kwake. Endapo kama kweli bado anaupenda uRais wake basi itamlazimu awe mpole na awe na busara kubwa sana katika mchakato mzima wa kutatua Mgogoro huu uliopo.

Rais SSH asipende kuendeleza Malumbano na hao EU, hao EU wana uwezo mkubwa sana wa kuweza kumhujumu, na anaweza akakwama kabisa katika kutawala nchi hii. Ajifunze kupitia kwa yaliyomkumba Rais Robert Mugabe na Zimbabwe kwa ujumla. Mugabe alihujumiwa na EU, alipata taabu kubwa sana katika kuendesha/kutawala nchi hiyo ya Zimbabwe, na hatimaye matokeo yake aliondolewa madarakani 2017 kutokana madhara ya muda mrefu ya hujuma hizo za EU. Rais SSH asipende kuingia kwenye mtego huo alionasa Mugabe. Hadi leo hii Zimbabwe bado haijatulia kabisa kutokana na Vikwazo vilivyowekwa na EU enzi za Utawala wa Mugabe.
 
Na hii ya mwanasheria mkuu na waziri wa mambo ya ndani kuingilia Mambo yaliyopo mahakamani ni sawa?
 
Demokrasia maana yake government of the people for the people lakini hii hapa Tanzania ni kama government of the leaders for the people .Yaani haki ya kulinda demokrasia nchini ipo kwenye makaratasi na mdomoni lakini sio katika uhalisia . Chama cha upizani kinachoneonekana kina nguvu viongozi wake wanatengenezewa zengwe yaani chaguzi tunazofanya ni kama kiini macho kuidanganya dunia kwamba kuna utawala wa kidemokrasia ili hali ni uongo mchana kwaupe.
 
Rais SSH kwenye suala hili awe mwangalifu Sana kuchagua upande wa kuegemea, asiwasikilize Wala asifuate Misimamo ya hawa Watu ambao wanaonekana kuwa Wanajipendekeza kwake. Endapo kama kweli bado anaupenda uRais wake basi itamlazimu awe mpole na awe na busara kubwa sana katika mchakato mzima wa kutatua Mgogoro huu uliopo.

Rais SSH asipende kuendeleza Malumbano na hao EU, hao EU wana uwezo mkubwa sana wa kuweza kumhujumu, na anaweza akakwama kabisa katika kutawala nchi hii. Ajifunze kupitia kwa yaliyomkumba Rais Robert Mugabe na Zimbabwe kwa ujumla. Mugabe alihujumiwa na EU, alipata taabu kubwa sana katika kuendesha/kutawala nchi hiyo ya Zimbabwe, na hatimaye matokeo yake aliondolewa madarakani 2017 kutokana madhara ya muda mrefu ya hujuma hizo za EU. Rais SSH asipende kuingia kwenye mtego huo alionasa Mugabe. Hadi leo hii Zimbabwe bado haijatulia kabisa kutokana na Vikwazo vilivyowekwa na EU enzi za Utawala wa Mugabe.
Umeongea kwa busara kabisa,watu kama Mwashambwa na nduguye Tlaahtlaah, watakuja na Hoja dhaifu na za kupotosha kabisa!
 
Demokrasia maana yake government of the people for the people lakini hii hapa Tanzania ni kama government of the leaders for the people .Yaani haki ya kulinda demokrasia nchini ipo kwenye makaratasi na mdomoni lakini sio katika uhalisia . Chama cha upizani kinachoneonekana kina nguvu viongozi wake wanatengenezewa zengwe yaani chaguzi tunazofanya ni kama kiini macho kuidanganya dunia kwamba kuna utawala wa kidemokrasia ili hali ni uongo mchana kwaupe.
Hii no reform no election Ina hoja,ila wachache hawataki kwa maslahi Yao Binafsi!
 
AI-generated, then refined a little bit.

Meaningless, repetitive and abstract concepts.

Passive-aggressive.
 
Kwa nchi inayokupa misaada hakuna namna ya kutengana naye. Mwombeane msamaha.
 
Sijui kama watakuwa wameelewa hao vichwa maji. Cha muhimu tuache kuomba misaada yo yote kutoka nchi hizo kwank huwa ni ya kinyanyashaji mara zote. Wanatuona sisi bado ni koloni lao.
Ili tuendelee kuteka, kupiga na kuwaua wanaotupinga siyo? Nutcase
 
Naiomba serikali ikatae misaada yote inayotolewa na mataifa ya nje.
 
TAMKO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA ULAYA

Dar es Salaam, 8 Mei 2025

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea taarifa ya azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania ikiheshimu uhuru wa taasisi wa Bunge la Ulaya na kuthamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya, inaona ni muhimu kufafanua baadhi ya mambo ya msingi na kusisitiza tena dhamira yake ya muda mrefu ya kuzingatia misingi ya demokrasia, utawala bora, na sheria.

Tangu Machi 2021, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikitekeleza mageuzi ya kisiasa na kisheria kupitia dhana ya 4R – Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi, na Ujenzi Upya. Mageuzi haya yameleta mafanikio ya dhahiri ikiwa ni pamoja na kurejesha uhuru wa kisiasa, kupanua haki za kiraia, kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, na kupitishwa kwa sheria mpya za uchaguzi mwezi Machi 2024, zilizowezesha kuanzishwa kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.

Tanzania ni nchi huru inayoongozwa kwa mujibu wa Katiba yake na utawala wa sheria. Masuala yote ya kisheria yanashughulikiwa kwa uhuru na mhimili wa Mahakama ambao ni miongoni mwa mihimili ya dola, kwa mujibu wa sheria za kitaifa na kwa kuzingatia viwango na kanuni bora za kimataifa, ambapo Serikali (Tawala) haina mamlaka ya kuingilia mashauri ya mahakama. Hivyo basi, matamko yoyote yanayodokeza au kuhamasisha Serikali kuingilia mashauri yanayoendelea mahakamani siyo tu kwamba hayafai, bali pia yanakwenda kinyume na misingi ya uhuru wa Mahakama kama ilivyobainishwa katika Katiba ya Tanzania na kama inavyohimizwa na Umoja wa Ulaya.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia ina wasiwasi na mwenendo unaojitokeza kwenye azimio la Bunge la Ulaya ambapo baadhi ya wadau wa kimataifa wanatoa maamuzi kwa msingi wa taarifa pungufu au zenye upendeleo, bila kupitia njia rasmi za kidiplomasia. Mtazamo huu unapotosha na kuwasilisha taswira isiyo sahihi kuhusu hali halisi ya mambo nchini.

Soma Pia: Hoja ya azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kukamatwa na hatari ya kunyongwa kwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema

Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba baadhi ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwemo mashauri mahususi ya kisheria, yanashughulikiwa kwa ukaguzi maalum, huku mafanikio makubwa katika maeneo kama uhuru wa vyombo vya habari, ushirikishwaji wa kisiasa, mageuzi ya uchaguzi, na ujenzi wa amani ya kikanda yakipuuzwa.

Wakati Tanzania ikiendelea kuheshimu haki na utu wa kila mtu kama ilivyoainishwa katika Katiba yake, ni muhimu kufafanua kuwa masuala yanayohusu mwelekeo wa kijinsia yameshaainishwa wazi ndani ya mfumo wa Katiba ya Tanzania, sheria za kitaifa, mila, na desturi za jamii. Tanzania inasisitiza kuwa ushirikiano wowote lazima ujengwe juu ya kuheshimiana kwa misingi ya maadili, ikiwa ni pamoja na kuheshimu mamlaka ya kikatiba, mifumo ya kisheria, na utambulisho wa kitaifa, huku ushirikiano wa baadaye ukilenga vipaumbele vya pamoja katika maendeleo, utawala, ukuaji wa uchumi, na ustawi wa watu.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuthamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya na iko tayari kwa mazungumzo ya wazi, yenye heshima, na yanayozingatia ushahidi kuhusu masuala ya maslahi na umuhimu wa pamoja. Hata hivyo, mazungumzo haya lazima yajengwe juu ya uwazi, usawa, kuheshimiana, na uelewa kamili wa uhuru wa taasisi za kila nchi, Katiba zake, pamoja na muktadha wa sheria na utamaduni wa kila taifa.

Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025, Serikali ya Tanzania inathibitisha tena dhamira yake ya kulinda amani, kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki, na kulinda haki na uhuru wa msingi wa wananchi wote kwa mujibu wa Katiba.

Tanzania inakaribisha kuendelea kwa msaada kutoka Umoja wa Ulaya na washirika wote wa kimataifa wanaojitokeza kwa nia njema na uelewa ulio sahihi kuhusu safari ya kidemokrasia ya nchi hii, na wako tayari kushirikiana na wale ambao bado hawajafahamu vya kutosha kuhusu maadili na utamaduni wa Kitanzania.

MWISHO

Imetolewa na:
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI – JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

View attachment 3328439
View attachment 3328440
Uongo mtupu
 
Bunge la EU likuamulie wewe mwafrika mambo yako? Nini maana ya kupigania uhuru sasa?
Ukiua wanao pamoja kuwa we ni baba uliyewazaa,

Lazima majirani waingilie kati,

Sasa kukuzuia usijue wanao na nduguzo, SI kuingiliwa, ni kusaidia Ili kurudi kuwa timamu.

Huo ni mfano.
 
Tamko (sio azimio) la kifua kipana sio la watanzania hilo, wananchi tupo na EU Parliament bega kwa bega hatuna kwere!
 
Ukiua wanao pamoja kuwa we ni baba uliyewazaa,

Lazima majirani waingilie kati,

Sasa kukuzuia usijue wanao na nduguzo, SI kuingiliwa, ni kusaidia Ili kurudi kuwa timamu.

Huo ni mfano.
Kabisaaaaaa.
 
Sijui kama watakuwa wameelewa hao vichwa maji. Cha muhimu tuache kuomba misaada yo yote kutoka nchi hizo kwank huwa ni ya kinyanyashaji mara zote. Wanatuona sisi bado ni koloni lao.
Kwa nini wasitudharau?
Tuna bandari, tuna Almasi, dhahabu, shaba, Tanzanite, Uranium, makaa ya mawe, chuma, Gesi, mlima Kilimanjaro, mbuga za wanyama, ardhi yenye rutuba, mito na maziwa lakini rasilimali hizo zote hatuwezi kuzitumia ili kuboresha maisha ya Watanzania na bado tunaomba misaada kutoka kwao, huu si ujinga kabisa.
 
Back
Top Bottom