Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Wao wamemwaga ugali wabongo wamemwaga mboga
Ngadu kwa ngadu
Bampa to bampa
Wameweka ugoko wabongo wameweka chuma

Ova
 
Weeee hapan,huyo nahisi ni Me kutokana na uwandishi wake,afu mm siandikag pumba yupo hukooo kwenye kula kimasikhara
Sasa kuwa ndugu ni lazima muwe jinsia moja we ni nakubusu ye ni mabusu
 
WaTZ wastaarabu sana tena wamepewa mpk Jan 22, ilibidi iwe papo kwa hapo hakuna KQ kutua TZ tena kwa viwanja vyote.
 
Safi sana,kazi kazi,kama vipi serikali zikataze tu ushirikiano wa Tz na Kenya yani hakuna mkenya Wala bidhaa za Kenya kuja Tz na pasiwe na mtz Wala bidhaa za Tz kuingia Kenya maana sisi ni majirani wanafiki,yani hatupendani na tunachorana sana.
 
Na sasa kaamuwa kuwafungia Wakenya eyapoti zetu.

Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.

Unalo zaidi?
Nadhani wakenya wali mu underrate Raisi Mama Samia kuwa yeye ni Simba Jike

Mbugani Simba Jike kwanza ndiye mwenye ndevu sio dume.Simba Dume ndevu shingoni Hana Mbugani pili Simba Jike ndie hutafuta nyama ya kula wanawe na Simba dume baba zao

Ni Kuwa yeye Mama ni Simba Jike mtafuta chakula Cha watanzania wanaume na Wanawake na Watoto wa Tanzania

Uamuzi kafanya sahihi

Wakenya hawajui la Raisi Mama Samia ni Simba Jike aliyekabidhiwa Hadi pinde ,mishale na mikuki na makabila mbalimbali nk atafute nyama winda porini Kwa ajili ya watanzania Mama Samia ni Chifu Hangaya mwindaji wa mawindi ya nyama Kwa ajili ya watanzania Wakenya hawajui hachezewi
 
Kuna wengi hawaelewi hayo, wanamchukulia powa tu.

Kwa ufupi wakenya, hawa kina MK254 wana kila aina ya ushenzi duniani.

Tazama hata lugha zao hapa JF, za kishenzi tu.
 
EAC ni muungano wa kihuni sana na utasambaratikaga kihuni sana,Rwanda na Burundi wana bifu,Rwanda na Congo bifu,Uganda na Kenya bifu ya biashara ya mafuta na sasa Kenya na Tanzania tena. Muungano kama EU wana mashariti magumu sana kupokea wanachama,ndio maana huwezi sikia wanakwaruzana wao kwa wao.EAC ni muungano wa kihuni
Nilitaka andika hili umeniwahi!! EAC, ECOWAS na SADC ni uthibitisho wa unyani wa mtu mweusi. Hizi jumuiya ni takataka tu na sehemu ya kutafunia pesa hakuna cha maana kulinganisha na zile jumuiya za Ulaya!
 
Sasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
 
Sasa hivi hakuna ukame huko mna sauti za kuongea eeh?
 
Jumuiya yetu hii kuna mda huwa najiuliza kabisa kwamba tulijiandaa vya kutosha kuungana? Ni miongoni mwa jumuiya zenye matatizo makubwa sana ya kutokuwelewana kabisa,

Juzi tumetoa kusikia Burundi kafunga mpaka wake na Rwanda

Congo na Rwanda wenye ni shida tupu shutuma kila kukicha

Uganda na Kenya wenyewe mashaka ni makubwa

Congo na Kenya niliona Congo anaishutumu Kenya kwa kuruhusu yule jamaa Mkongo/mpinzani wakati wanakaribia uchaguzi nadhani aliyenda kuongea na vyombo vya habari Kenya

Tanzania na Kenya hapa sasa ndo ngachoka

Somalia na Kenya wenyewe ni shida

Jumuiya ya kinafiki hii acha tu

EAC community ilibidi ibaki TZ, KE na UG basi. Hao wachovu wengine wapambane na hali zao, wanatuongezea majukumu tu yasiyo na msingi.

TZ na KE have always had a love-hate relationship but can't live without each other.
 
Back
Top Bottom