Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka Mguu niweke Jiwe, ukipiga la Jicho ntakupiga la Sikio ukiuliza unaonaje nakuuliza unajisikiaje? 😆so ni jino kwa jino au sio..?
Sasa kuwa ndugu ni lazima muwe jinsia moja we ni nakubusu ye ni mabusuWeeee hapan,huyo nahisi ni Me kutokana na uwandishi wake,afu mm siandikag pumba yupo hukooo kwenye kula kimasikhara
Magu alideal nao ila mamako akaja kwenda kujipendekeza alifikiri wakenya wanampenda sana?Hao Punda wa Kunyaland ni kwenda nao hivyo hivyo.
Wana chuki sana na Tzn sijui Huwa yakoje
Kenge wa chadema wanajikanaMama yenu si alifungua Nchi.
Nadhani wakenya wali mu underrate Raisi Mama Samia kuwa yeye ni Simba JikeNa sasa kaamuwa kuwafungia Wakenya eyapoti zetu.
Ukimwaga ugali tunamwaga mboga.
Unalo zaidi?
Kuna wengi hawaelewi hayo, wanamchukulia powa tu.Nadhani wakenya wali mu underrate Raisi Mama Samia kuwa yeye ni Simba Jike
Mbugani Simba Jike kwanza ndiye mwenye ndevu sio dume.Simba Dume ndevu shingoni Hana Mbugani pili Simba Jike ndie hutafuta nyama ya kula wanawe na Simba dume baba zao
Ni Kuwa yeye Mama ni Simba Jike mtafuta chakula Cha watanzania wanaume na Wanawake na Watoto wa Tanzania
Uamuzi kafanya sahihi
Wakenya hawajui la Raisi Mama Samia ni Simba Jike aliyekabidhiwa Hadi pinde ,mishale na mikuki na makabila mbalimbali nk atafute nyama winda porini Kwa ajili ya watanzania Mama Samia ni Chifu Hangaya mwindaji wa mawindi ya nyama Kwa ajili ya watanzania Wakenya hawajui hachezewi
Nilitaka andika hili umeniwahi!! EAC, ECOWAS na SADC ni uthibitisho wa unyani wa mtu mweusi. Hizi jumuiya ni takataka tu na sehemu ya kutafunia pesa hakuna cha maana kulinganisha na zile jumuiya za Ulaya!EAC ni muungano wa kihuni sana na utasambaratikaga kihuni sana,Rwanda na Burundi wana bifu,Rwanda na Congo bifu,Uganda na Kenya bifu ya biashara ya mafuta na sasa Kenya na Tanzania tena. Muungano kama EU wana mashariti magumu sana kupokea wanachama,ndio maana huwezi sikia wanakwaruzana wao kwa wao.EAC ni muungano wa kihuni
Alifanya hivyo wakati wa Covid akatukanwa sana.Ingekua jembe kafanya hivi angetukanwa sana,uliona mbali R.I.P JPM
#Pooooovuuuuruksaaaa
Boarder ndo nn dada?Hapo ni sawa
Wasituchukulie poa
Funga na boarder
Kila upande ujitegemee
Sasa hivi hakuna ukame huko mna sauti za kuongea eeh?Sasa si bado Tanzakundu ndio mtakuja Nairobi kwa Magoti mfunguliwe. You people qre stupid, you think when kenya blocked your airlines from carrying goods they did not know the consequences? Mafala sana. Nairobi dar Route profits are lower than the cargo profits.
Jumuiya yetu hii kuna mda huwa najiuliza kabisa kwamba tulijiandaa vya kutosha kuungana? Ni miongoni mwa jumuiya zenye matatizo makubwa sana ya kutokuwelewana kabisa,
Juzi tumetoa kusikia Burundi kafunga mpaka wake na Rwanda
Congo na Rwanda wenye ni shida tupu shutuma kila kukicha
Uganda na Kenya wenyewe mashaka ni makubwa
Congo na Kenya niliona Congo anaishutumu Kenya kwa kuruhusu yule jamaa Mkongo/mpinzani wakati wanakaribia uchaguzi nadhani aliyenda kuongea na vyombo vya habari Kenya
Tanzania na Kenya hapa sasa ndo ngachoka
Somalia na Kenya wenyewe ni shida
Jumuiya ya kinafiki hii acha tu