Nakubali. Nyerere alikuwa Genius.
Nyerere ni Mungu
 
Mama anaimaliza Tanganyika. Tujipange kumtoa kwa mwendo wa haraka. Akiachwa mpaka 2025 hali itakuwa mbaya sana.
Acha kushikwa akili na DJ wewe, hakuna serikali ya Tanganyika na hata waingereza ukiwauliza ni lipi jina la serikali tuliyonayo watakuambia ni serikali ya JMT. Kwa hiyo wewe unajua Zaidi ya mwingireza aliyeipatia uhuru Tanganyika lakini Sasa anaiita Tanzania na serikali ya JMT?

Kumuelewa Mwalimu ni kazi sana sio jambo jepesi binadamu maisha yake kufanywa ni kozi ya kupatia degree.
 
Nakubali. Nyerere alikuwa Genius.
Nyerere ni Mungu
Kama ni Mungu kwako endelea na upotofu wako. Mimi najua Mwalimu alikuwa ni binadamu aliyejaliwa kipaji Cha ajabu na Mungu. Kumuita Nyerere ni Mungu hiyo ni kufuru Kwa Imani yangu
 
 
Sorry, hili sio Size Yako, subiri mada za size Yako!
Tanzania kuendelea ikiwa na watu kama wewe tusahau kabisa, ndio maana Hitler alikuwa anawapunguza watu ambao hawana msaada Kwa Ujerumani. Sorry Kwa kukuambia hayo.

Acha nikuambie ukweli, umeuliza swali linalowafanya wenye akili waanze kujadili uwezo wako wa kiakili maana kujadili swali ni kupoteza Muda Bure, Kwa kujua uwezo wa kiakili wa muuliza swali tutajua tujadili swali Kwa angle ipi.

Kwa kukusaidia tu, nenda uingereza kawaulize waingereza hii nchi ni Tanganyika au Tanzania na serikali tuliyonayo ni ya JMT au Serikali ya Tanganyika maana hao ndio waliotupatia uhuru hivyo wanalijua Taifa la Tanganyika vilivyo.

Waingereza wakikujibu hii ni nchi ya Tanganyika nami nitaungana na wewe kuidai Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…