TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Pumzika kwa amani mzee! Daah watu wema hadumu jamani.....
 
Infotech wanauza nini?
 
Huyo mufuruki unayemwongelea ndo huyu?
Maana wapo wahaya wengi wanaitwa hivyo.


Huyu mufuruki anamiliki kiwanda cha chai Bora na yetu chai huko bukoba vijijin
 
Sorry unaweza kutueleza Infotech wanauza nini.

RIP A. MUFURUKI
 
Mkuu apo kuna kosa gani?
Mnakatazwa kujua utamaduni wenu ...eti ni ukabila. Nani kawadanganya nyie
 
Huu mwaka sio kabisa ma hili ni pigo jingine. Natumai aliweka succession plan yake vizuri [emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]

R.I.P boss
 
Usipende vya kugawiwa bure. Mwanaume pambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…