Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Kwani watoto wa kike sio watoto???RIP the boss,ameacha watoto wa kike tu.
Sijui hata kwanini nimeandika suala hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watoto wa kike sio watoto???RIP the boss,ameacha watoto wa kike tu.
Sijui hata kwanini nimeandika suala hilo.
RIP Jirani !
nenda shule kwanza kidogo, maana kuna dalili kwenye hiyo biashara utaibiwa hadi ufilisike!.
Huyu si Jana tu,aliongea ongea vitu controversial?
Infotech wanauza nini?Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Infotech investment Group ambaye aliwahi pia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ali Mufuruki, amefariki Dunia akiwa Afrika Kusini.
#RIPNduguYetu🙏🏽
Vitu gani mkuuHuyu si Jana tu,aliongea ongea vitu controversial?
Huyo mufuruki unayemwongelea ndo huyu?Wahaya mna mambo,hawa wakina Mufuruki ingawa ni wahaya ila wanajiona zaidi kama wasukuma,maana wamezaliwa na kukulia Geita na mama yao pia ni Musukuma.
Kile kiwanja chake kikubwa pale Geita alichokijengea tu ukuta bila kukiendeleza miaka na miaka nadhani ni wakati muafaka kikagawiwa kwa wananchi
Sorry unaweza kutueleza Infotech wanauza nini.Kweli duniani tunapita tu kila mtu ajifunze. Wakunyanyua mabega wajifunze na kuheshimu wenzao. Kwamba njia hii ni ya wote hakuna atakayebakia.
Duuh mwaka umeenda na watu wakubwa waliofanya mabadiliko kwenye sekta ya uchumi, Mengi na sasa Mufuruki.
Mufuruki umefanya mengi katika sekta ya uchumi.
RIP.
Mkuu apo kuna kosa gani?Wahaya mna mambo,hawa wakina Mufuruki ingawa ni wahaya ila wanajiona zaidi kama wasukuma,maana wamezaliwa na kukulia Geita na mama yao pia ni Musukuma.
Kile kiwanja chake kikubwa pale Geita alichokijengea tu ukuta bila kukiendeleza miaka na miaka nadhani ni wakati muafaka kikagawiwa kwa wananchi
Pumzika kwa amaniAbali ya muda huu mimi nimeazisha biyashala ya kuza pilipili ambazo zisha asagwa ss naitaji biyashala ijulikane kisheliya nifanyaje ili itambulike kisheliya
Huenda wanauza huduma mkuu, kuuza huduma ni biashara pia, consultancy servicesSorry unaweza kutueleza Infotech wanauza nini.
RIP A. MUFURUKI
Wahaya mna mambo,hawa wakina Mufuruki ingawa ni wahaya ila wanajiona zaidi kama wasukuma,maana wamezaliwa na kukulia Geita na mama yao pia ni Musukuma.
Kile kiwanja chake kikubwa pale Geita alichokijengea tu ukuta bila kukiendeleza miaka na miaka nadhani ni wakati muafaka kikagawiwa kwa wananchi
Namimi nimeona kwenye ukurasa wa MoDewji, nadhani ni kweli. Apumzike kwa amani ndugu yetu huyu.
Mkuu natafuta jiko kwa sasa,unaweza nikutanisha nao?RIP the boss,ameacha watoto wa kike tu.
Sijui hata kwanini nimeandika suala hilo.