TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Pigo kwa familia ya soka
R.I.P Ndikumana
Poleni familia ya UWOYA
 
kumbe kule insta alikua anaenjoi machoni tu lakini moyoni alikua na maumivu makali mweee.....uwoya sijui alimpa tako huyu jamaa maana si kwa kuumia kule
Kuoa au kuolewa ni maamuzi magumu sana, hasa kwa me, inabidi aangalie mambo mengi sana na aafikiane nayo kwa yule mke mtarajiwa hivyo wanaume wengi huwa hawakurupiki sasa inapotokea amejiridhisha kinyume na matarajio yake humuathiri sana
 
Jamani,itakuwa aliumia sana mkewe kuolewa tena.Dah imeniuma sana Rip ndikumana,Rip Ivan Semwanga.Mapenzi ni hatari sana kwa afya hasa ukiowa mwanamke asiejielewa na mbinafsi.
 
Dunia mapito R. I. P broo
 
Diamond--------Ivan Don
Dogo Janja------Ndikumana

Isije kuwa Dimond kampelekea Dogo Janja kwa mganga wake.
 
Inaelekea Uwoya mtamu sana, maana toka aliposikia kaolewa jamaa alikuwa na kihoro. Anyways wote ni wapita njia, mbele yake nyuma yetu. Mola amuweke mahala stahiki kwa amal zake.
 
Inavyoonekana penzi la Irene bado lilikuwa linaendelea kumtafuna.... kwa jinsi nilivyoyaona malalamiko yake ya hivi karibuni kwenye mitandao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…