Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi Irene atajuta sana kwa hili!
Kumbe na yeye alipata mwingine kama Irene alivyopata!!!!!!R.I.P,kweli vya dunia tunaviacha juzi tu kapost anapata mahaba kwa mrembo mzuri leo Roho imeacha mwili.
Inatakiwa tujiandalie njia nzuri kwa kutenda mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu.
![]()
Kuoa au kuolewa ni maamuzi magumu sana, hasa kwa me, inabidi aangalie mambo mengi sana na aafikiane nayo kwa yule mke mtarajiwa hivyo wanaume wengi huwa hawakurupiki sasa inapotokea amejiridhisha kinyume na matarajio yake humuathiri sanakumbe kule insta alikua anaenjoi machoni tu lakini moyoni alikua na maumivu makali mweee.....uwoya sijui alimpa tako huyu jamaa maana si kwa kuumia kule
Ndio huyo huyo ila usije kusema ni mkono wa Dogo Janja.Weee!! Huyu mume wa irene uwoya????