TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Mbona alikua ashapata mwanamke mwingine na wanajirusha insta
 
We Live Once , We Die Once

Let's Enjoy Life To The Fullest

R.I.P Ndikumana
 
Dogo J ameua pasipo kukusudia, naskia eti mapenzi yanaua aiseeeeee
 
Ndio huyo huyo ila usije kusema ni mkono wa Dogo Janja.

Duh! Aisee! Huyu jamaa naamini alitaka sana kuendelea kuwa na irene ila dada zenu ndo vile tena. Anyway, apumzike anapostahili.
 
Mkuu hivi hawa kunguru wa Zanzibar (tunaowaita bongo movie) huwa wanajuta kweli? Hao waowane wenyewe kwa wenyewe siku mbili wakiachana wanauza magazeti
Mkuu kifo ni kitu kingine ukiangalia amezaa nae
 
Aisee huko duniani watu wameendelea,siku hizi mna mpaka mortuary za kiislam?aisee!
 
Kamati ya Ufundi imefanya yake.... Poleni sana wanafamilia...
 
R.I.P,kweli vya dunia tunaviacha juzi tu kapost anapata mahaba kwa mrembo mzuri leo Roho imeacha mwili.
Inatakiwa tujiandalie njia nzuri kwa kutenda mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu.
Sitaki kuamini jamaa amemuacha mtoto mkareeeee....
R.I.P Ndikumana
 
Ule utafiti unaosema wanaume wengi wanakufa na msongo wa mawazo nimeanza kuuelewa! poor Baba Krish kapumzike salama jamani,dunia tunapita juz tu si walikua wanapeana vijembe na Irene???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…