TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Rip brother ndiku mana

Sasa hao wachezaj wawili kufa wote kwa mpigo ndo nini aisee au paul anahusika nini
 
Umetumia mafumbo sana ila umesomekaaaa!!
 
Kwa habari nilizozipata hivi punde kuwa Aliekuwa Mme wa Irine Uwoya amefariki Dunia jana usiku kwa ugonjwa wa moyo.

Taarifa zaidi zinakuja
Inaonekana alimpenda sana mkewe..taarifa za mkew kuolewa zilimuumiza sana..
 
Itakua cardiac arrest tu..alikua anahangaika sana recently huko instagram na inaelekea aliumia mnoo kuhusu the so called ndoa ya dogo janja..si kwa caption zile..
Anatumia jina gani insta!?
 
Dogo J ameua pasipo kukusudia, naskia eti mapenzi yanaua aiseeeeee

Kwa nilizozinyaka kutoka kwa Mchezaji wa Kibongo ambaye alikuwa ni Rafiki mkubwa sana wa Marehemu na wamecheza wote kwa mafanikio makubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC nadhani ingefaa sasa tuanze kumpa pole Dogo Janja na kumuandaa Kisaikolojia mapema na pia kuwapa pole sana Waandishi wa Habari za Michezo wawili wa Kike mmoja sasa ni Bosi katika Chama chao ni mwingine alikuwa ile Media ya Sinza na sasa yupo Media ya Tabata na ambaye pia alishatoka Kimapenzi na aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Mshambuliaji kutoka nchini Zambia. Naomba niishie hapa tafadhali. R.I.P Ndikumana.
 
We jamaa mbona unaandika nusu nusu
 
Kuna siku mwaka huu kipindi cha The Wekend Chat Show, clouds tv aka SHILAWADU soudy brown alimuuliza dada mmoja kuwa kuna tetesi amekanyaga umeme, huyo dada alijibu kuwa ni maneno ya mtaani tu!
 
Ohoo nimeunganisha dot kwa hii coment yako na coment ya barafuyamoto hapo chin nimepata mwanga
 
Duhhh......[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mdomowangu umebaki wazi kabisaaaaaaaa......[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Kuna siku mwaka huu kipindi cha The Wekend Chat Show, clouds tv aka SHILAWADU soudy brown alimuuliza dada mmoja kuwa kuna tetesi amekanyaga umeme, huyo dada alijibu kuwa ni maneno ya mtaani tu!
Nikiunganisha na ile coment ya gentamycime kuna kitu nakipata hapa
 
Umetumia mafumbo sana ila umesomekaaaa!!

Nashukuru kwa kunielewa mapema Mkuu na nawacheka tu hapa Watu wanaosema mara sijui ni Stress mara sijui Tatizo la Moyo na maneno / tuvituvitu kibao wakati hata Wachezaji wenzake wengi huku Bongo mmoja akiwa anafanya katika Kampuni ya Tajiri Kijana barani Afrika walishalijua tatizo lake zamani sana kama ambavyo walilijua tatizo la Wachezaji wawili ambao ni Wahenga kidogo ambao kwa sasa mmoja anacheza Klabu ya Maji Maji ya Ruvuma ( Songea ) huku mwingine akianza kula pensheni yake taratibu ndani ya Klabu inayo jinasibu / kujiita ya Kimataifa.

Nawaonea sana huruma Waandishi wa Habari za Michezo wa Kike nchini Tanzania. Naomba niishie hapa tafadhali na niseme tu tena R.I.P Ndikumana.
 
Acheni uchawi, ndoa ifungwe wiki zilizopita heart attack itokee leo? Au ndo kwamba jana alikua anamuwaza sana? Bora mniambie jana dogo janja ndo alimgegeda uwoya wakamtumia picha jamaa. Kama ni kweli bas ubongo na moyo wake havina ushirikiano, yan ubongo ulijua mtu kafunga ndoa wiki iliyopita taarifa ikafika kwenye moyo jana, Izlaeri akafanya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…