Nyie akili zenu ndio za kinafiki unataka isitangazwe kuwa siku ya kutofanya kazi? Hizo lawama mnazotoa mnauhakika kuwa hakuna viongozi wa serikali walioenda kumjulia hali?N'a siajabu ikawa siyo siku ya kazi,Ngoja utawasikiaaa wanafikiiiii wataanza
Presidential decreeHivi hukumu yake ilitolewa na mahakama gani?
Kumbe atazikwa kesho saa 7 ZanzibarMa
zIko hayajajulikana lakini huenda yakawa dar
Alikuawa jaji??...
Ilitolewa Na rais
Hiyo maana yake nini?Inna lillaahi wainna ilaiyhi raajiun
Hata kwa marehemu Wangwe walisema hivyohivyo wakati akina a.k.a walipinga na kupuuza mawazo kuntu slokuwa akitoa ndani ya chama. Lakini kwa mstaafu huyu anahaki ya kumtakia RIP
Taarifa ya habari TBC taifa wanamwiita Rais mstaafu.. Sijui kustaafu kwake kulikuwajeMkuu mwisho wa siku ni mwenyezi mungu ndio muamuzi wa yote.
Acha uvivu wewe unaweza kuomboleza kwa kuchapa kazi zaidiWatupe mapumziko wiki.nzima tuomboleze?
Ndiyo unafiki huo tunao usemaTaarifa ya habari TBC taifa wanamwiita Rais mstaafu.. Sijui kustaafu kwake kulikuwaje