TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Huyu ni ABOUD JUMBE MWINYI

Alikuwa Raisi wa Zanzibar 1972 - 1984 amefariki dunia leo nyumbani kwake Dar es salaam.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN

Source: ABM REDIO
Daaaaah masikini kafa akiwa kwenye kifungo cha nyumbani.Anyway R.I.P tutakukumbuka daima kwa harakati zako za kuipigania zanzibar.
 
Upumzike kwa aman mzee wetu tutakukumbuka kwa mengi uliyofanya zanzibari na Tanganyika
 
Hiyo miaka umenipangia wewe ukute ww ni mtoto wangu wa tano na huyo unaemtaja ameshaacha kazi serkalini muda mrefu sana mustafa jumbe anaitwa kama humjui nimekupa na jina
Enhe! Patamu hapo ...

Kaka ...
 
Bila huyu, leo kusingekuwepo na CCM, kwani alikubali chama cha ASP kiungane na TANU na kuzaliwa CCM.

Alipohoji kuhusu Muungano, akapokonywa madaraka yote na kuwekwa Kizuizini Kigamboni toka mwaka 1984.

Pumzika kwa amani Jumbe, daima wewe ni shujaa wetu na jina lako litaishi milele.
 
Daaaaah masikini kafa akiwa kwenye kifungo cha nyumbani.Anyway R.I.P tutakukumbuka daima kwa harakati zako za kuipigania zanzibar.

mi mbona sielewi hicho kifungo? cha nyumbani ki vipi? Mwaka 2002 aliwahi kuja Geita kulikuwa na kongamano la kiislamu kwa muda wa siku mbili. Halafu kuna wakati alikuwa akivuka siku za Ijumaa kwenda kusali huko mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…