Kifo kinatukumbusha nini wanadamu? Yoooooooooote fanya, kuna siku utamrudia Mola wako. Ni heri kutenda mema, haki etc. Alikuwa na madaraka, amri yake ilikuwa kama ya Mungu visiwani; sijui aliwaonea wangapi? Wangapi walikufa??? kwenye mikono/amri zake etc? (sisemi alitenda hayo, HASHA, ni imaginary situation tu)! Watawala na wote tulio na wajibu wa kutenda mema tufanye hivyo.
Dah walimtenga na kumnyanyapaa nadhani ni kiapo walikula kutoka kwa mfalme Nyerere. Mzee wa watu wakamfungia kama kuku masikini amejifia akiwa hatakiwi kuiona ardhi ya nje ya nyumbani kwake.
Nenda mzee na najua utapewa kiti cha kumhukumu Nyerere na wale wote waliokula kiapo chake kuwa hutakiwi kuwa huru!!!!
Ohhh my God. Na hiyo mikono imekuwaje tena? Aliugua wakaikata au ni sehemu ya adhabu? MTU mzima machozi yamenitoka. Unyama mkubwa sana. Rest in Peace Hero.