TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

UTASHANGAAAA WANAPELEKAA VINGORAA SEMANINI NA MAGARIYAKIFAHARI NAKUMBUKA NDUGU WALISHAWATOA RESI JAMA WAKADAI WATAMTUNZANNDUGUYAK AWAITAJIMSAADA WAMTU
Kama mimi ni mwanafamilia sitoruhusu hata kiongozi mmoja wa serikali kuja hapo,au kutoka lumumbaa kuhudhuria mazishi

Ova
 
RIP Mzee wetu Aboud Jumbe! Walikuziba mdomo lakini sauti yako inaendelea na kilio chako hakikupotea bure! Wazanzibari na watanganyika watakukumbuka daima kwa kuendeleza mapambano ya ukombozi!
 
Kabisaaaaa mpw
Kama mimi ni mwanafamilia sitoruhusu hata kiongozi mmoja wa serikali kuja hapo,au kutoka lumumbaa kuhudhuria mazishi

Ova
mpwaaWaanguuu yaan achatu amejifiaa nachamoyoni apumzikekwa Amani tu
 
Seif Sharif Hamad alifundishwa na Abood Jumbe Mwinyi elimu ya sekondari katika sekondari ya King George VI ambayo leo inaitwa Lumumba iliyopo mjini Zanzibar, Jumbe ni mmoja ya wasomi wa mwanzo wa Zanzibar alikuwa na shahada ya chuo kikuu cha Makerere, Jumbe alimteua Seif kuwa waziri wa elimu ,baadaye akamteua kuwa waziri kiongozi wa Zanzibar.
Seif aliiba nyaraka muhimu kuhusu serikali tatu alizokuwa ameandaa Mzee Jumbe kupitia mwanasheria mkuu wa Zanzibar ,Seif akazipeleka kwa Nyerere ndio ukawa mwisho wa Mzee Jumbe kuwa rais wa Zanzibar na alifukuzwa urais wa Zanzibar 1984.
Seif alimsaliti Mzee Jumbe ambaye alikuwa anataka muungano wa serikali tatu.

Pumzika kwa amani Mwalimu Mzee Abood Jumbe Mwinyi.
 
Sisi sote ni wa Allah na kwake sote tutareje.
Ewe Allah.. Msamehe na muhurumie.
Jaalia kaburi lake liwe kiwanja miongoni mwa viwanja vya peponi. Na uepushe kaburi lake kuwa shimo miongoni mwa mashimo ya moto.
Aammiin.
 
Nasubiria nione,nani atashinda kati ya serikali na ndugu wa marehemu katika maziko ya marehemu!
 
watamsifia sana kuwa alikuwa safi sana wakati walimnyanganya kadi yao ya ccm
 
Back
Top Bottom