TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Vipi mnaotuambia Tanzania ni mfano wa kuigwa kwenye mapambano ya gonjwa hili je bado tutaigwa kwa hili hadi viongozi wa ngazi za juu namna hii? Tena kwa mtu kama Mahiga tumepoteza mtu mhimu sana katika taifa ni bora kupoteza wabunge 5 kuliko kumpoteza mahiga daaa inauma sana😭😭😭😭😭😭
 
Wafanyakazi watachukuaje tahadhari??...waache tu kwenda kazini bila ya ridhaa ya mabosi wao??

As long as maisha yanaendelea kama kawaida vifo vitazidi tu..Yaani hadi makanisa hadi leo watu wanaenda kufanya ibada..like serious?
Waulize waalimu walioko nyumbani sababu ya Korona, watakupa masahibu ya kutoenda kazini.
 
R.I.P

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Mkuu wewe Ni mdau muhimu na mkongwe humu Jf..umetoa mchango mkubwa Sana ktk mijadala nyeti kwa Ustawi wa Taifa letu .Mimi naamini huwa unausikiliza moyo wako...!

Hivi Sasa Kuna mkadala mkubwa haps nchini kuhusu jinsi Serikali inavyokabiliana na Korona.Wengine wanamlaumu JPM kwa kutochukua hatua stahiki mapema,wengine wanalaumu kufichwa kwa habari,wengine wanalaumu Viongozi Wakuu Rais,Makamu wamejificha.

Wengine wanalaumu upinzani kwa kukuza Mambo...Tunaona TV za nje zinaripoti takwimu za kutisha kuhusu vifo Dar es Salaam!

Watu wamemgeukia Mange na Kigogo kuwa wasemaji!
Kuna mtanzuka mkubwa !
Wewe una maoni gani!?
 
Sa hivi kama uma mzee wako ana matatizo ya moyo au kisukari jitaidi kumlinda sana na pia asipate hata hizi tetesi au ukweli kuhusu corona mana zitamuondoa haraka.

Yaani mie nna pumu baba ana pumu na sukari .naogopa hata kupanda bus noende leo najihis chizi fresh kbs..! Eh Mungu nilindie jembe langu!ila mie sijihofii kbs...namhofia dingilai uwiii😇😇😇
 
Back
Top Bottom