Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Mzee hebu leta tena ule uzi wako tena wa hii korona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Nilipendekeza lockdown lakini inbox nilifuatwa kuwa sio mzalendo.Lock down... Lock down.... Lock down.
Tufanyeje muelewe....
Piga chini Bunge..
Waulize waalimu walioko nyumbani sababu ya Korona, watakupa masahibu ya kutoenda kazini.Wafanyakazi watachukuaje tahadhari??...waache tu kwenda kazini bila ya ridhaa ya mabosi wao??
As long as maisha yanaendelea kama kawaida vifo vitazidi tu..Yaani hadi makanisa hadi leo watu wanaenda kufanya ibada..like serious?
Mkuu soma basi jarida mbalimbali juu ya hili, wamefafanua vizuri.
Mlifikiri Korona ni mchezo wa kuigiza ehh ??
Usiku wa juzi kuamkia jana Moshi manispaa wamezika watu 15 usiku kwa usiku,takwimu zinafichwa huu igonjwa na utatumaliza
Hili sio suala la uchama....ni janga la kidunia.Corona inazidi kuwatafuna wabunge wa ccm
Nilikuwa nimeshaweka kibra shemeji yenu,baada ya hii post kibamia kimesinyaaa. daah rip mwanadiplomasia
For sureHe is a devil
Mkuu wewe Ni mdau muhimu na mkongwe humu Jf..umetoa mchango mkubwa Sana ktk mijadala nyeti kwa Ustawi wa Taifa letu .Mimi naamini huwa unausikiliza moyo wako...!Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Ndugai naye ajiangalie sana na ubishi wake,immunity yake ilivyo hafifu ugonjwa utamfagia haraka mno
Umemuelewa?Yeye alivojifungia anakula nini?? Hizo nchi zingine watu wanaokaa ndani wanakula nini.ndio maana tutakufa hovyo kwa akili za kijinga Kama zakwako
Sa hivi kama uma mzee wako ana matatizo ya moyo au kisukari jitaidi kumlinda sana na pia asipate hata hizi tetesi au ukweli kuhusu corona mana zitamuondoa haraka.