Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Mwanadamu kumbuka siku za kuishi hapa Duniani ni chache, Hakika sisi ni Mavumbi na Mavumbini tutarudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikieni hapa akitetea na kushangiliwa na CCM yetu:
Mzee Tupatupa
Too sad. Nimemfahamu huyu Mama wakati wa BMK. Tutamiss mipasho yao. RIPView attachment 318027
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Zanzibar, Asha Bakari Makame amefariki dunia leo huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Taarifa zilizothibitishwa na wanafamilia pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa umoja huo visiwani Zanzibar, Salama Aboud Talib zinasema kiongozi huyo alikuwa ametoka nchini India kwa matibabu.
Naibu Katibu huyo amesema kuwa baada ya Makame kutoka India kwa matibabu, alipitia Dubai kwa mwanae, mahali ambapo mauti ilimkuta mapema leo.
Mbali na wadhifa huo ndani ya UWT, Asha Bakari Makame ameshawahi kuwa Waziri wa Wanawake na Watoto katika serikali ya awamu ya tano visiwani Zanzibar iliyokuwa chini ya Rais Salmin Amour.
Mbali na wadhifa huo, mwanasiasa huyo ameshawahi kuwa mwakilishi katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na aliwahi kuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Sio CCM tu ila ata ww pale unapoenda ovyo kwa maslahi yako ukiambiwa ukweli hutapenda, ata Chagadema hawapendi kuambiwa ukweli kama walivyoambiwa na Zitto katika issue ya ukaguzi wa.mahesabu jamaa akaitwa msaliti, Dr. Slaa alibaki na msimamo wake kuwa Lowassa hafai kuwa rais aliitwaje? Kisa tu leo yupo chama chao…!! Tusiwe wanafikiMkuu, CCM haina tabia ya kusema kweli. Ukisema kweli unasemwa kuwa ni mpinzani. Nadhani umenielewa
Mzee Tupatupa
View attachment 318027
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Zanzibar, Asha Bakari Makame amefariki dunia leo huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Taarifa zilizothibitishwa na wanafamilia pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa umoja huo visiwani Zanzibar, Salama Aboud Talib zinasema kiongozi huyo alikuwa ametoka nchini India kwa matibabu.
Naibu Katibu huyo amesema kuwa baada ya Makame kutoka India kwa matibabu, alipitia Dubai kwa mwanae, mahali ambapo mauti ilimkuta mapema leo.
Mbali na wadhifa huo ndani ya UWT, Asha Bakari Makame ameshawahi kuwa Waziri wa Wanawake na Watoto katika serikali ya awamu ya tano visiwani Zanzibar iliyokuwa chini ya Rais Salmin Amour.
Mbali na wadhifa huo, mwanasiasa huyo ameshawahi kuwa mwakilishi katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na aliwahi kuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
huwezi kumuombea msamahaView attachment 317991
Aliyewai kuwa Mwakilishi wa bunge maalum la katiba na Waziri wa wanawake na watoto Zanzibar na Makamu wa Jumuiya ya wanawake wa CCM ametangulia mbele ya haki huko Dubai baada ya kurejea matibabu yake huko India.
Mwenyeenzi Mungu amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema. Amin
Bado utasikia pengo la marehemu ni vigumu kuzibika. Kama vile aliyokuwa anatamka na kufanya yalikuwa mema. Tufike mahali tuwe wakweli, kama jambazi kafa tunasema kifo cha marehemu ni faraja kwa raia wema! Sio unafiki msibaniHuyu sawa tu...Ingawa wote tutakufa...ila wakitangulia maharamia kama hawa inakuwa ahueni huku duniani