TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Apate Pumziko La Amani Mama muanzilishi.
 
Wale W alitoka mbali hata waachane walikoanza wanakujua ni kama dada na kaka
Ni kweli mkuu! Mama alimwekea sumu mzee nia nikum
Wale W alitoka mbali hata waachane walikoanza wanakujua ni kama dada na kaka
Mama baada ya kuvichoka visa vya dingi alijaribu kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula housegirl akamstua mzee, mzee akakipele chakula kwa mkemia ikagundulika kweli kinasumu. Hapo ndoa ikawa imevunjika rasmi.
 
🙏🏾
 
sasa dingi ataenda kifua mbele kwa baba askofu kudai ndoa tya kikaninisa maana KIFO KIMESHAWATENGANISHA na Mercy..R.I.P Bi mkubwa.
 
Habari nilizozipata usiku huu ni kuwa Mama Mengi is no more.

Mrs Mercy Mengi mama yake Regina, Marehemu Mutie na Abdiel (Mke wa kwanza wa Reggy Mengi) amefariki usiku huu taarifa zaidi zinafuata.

RIP Mama.
rip japo sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…