Huyu ndo alikuwa anawakosha wanawake kwa kuponda wanaume? Au sio huyu?
AmenMwendo ameumaliza salama. Apumzike kwa amani
Mkuu samahani;Ni kweli tumempoteza Mwl Dr.mitimingi usiku huu Mungu ampe pumziko la milele
Umri sijaupata Mkuu wangu lakni nahisi yupo kwenye 40-50sUmri wake miaka mingapi?
Kumbe ndio huyu alikuwa na hizo swagg...R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
Aisee! Udongo huu..Nilikuwa namfuatilia sana katika mafundisho yake.Posts zake za Jana hizo
Nilikuwa na demu wangu mmoja alikuwa ananitumia clip za huyo jamaa whatsapp mpaka nikawa sizifungui maana ilikuwa kero,hata hivyo nashukuru mungu tumeachana
Pumzika kwa amani mtumishi[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufwile nyambara...Mweeeh Tufwile.
Mkuu unapinga kwamba hajafa?
Kwani alifanyajeR. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.