Ijumaa kuu alikuwa Mlima wa motoKwa taarifa ambazo bado hazijathibitishwa ni kwamba Mchungaji maarufu wa masuala ya mahusiano Dr. Peter Mitimingi ametutoka.
More updates to come.
Kufariki kwake ni jaribu kwako?Mungu mkuu, haya ni majaribu! Mimi ni Mkatoliki lakini huyu ni moja ya watumishi ninao waheshimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh na Mama?
ni kweli ila kipindi hiki corona inasindikizwa na wengiiR.I.P
Si kila kifo ni Corona
why ? kwani yeye ni mtu wa chuma mkuu kifo kisimuweze ? hata angekuwa wa chuma angeliwa na kutu.
shida jamii hata ikiambiwa ni swala la upumuaji watabisha tu.Jamii iambiwe kilichomsibu hata akafa.
Otherwise it will fill the blank.
Kwan ni #covid19?May his soul RIP. Yaani kwa sasa ukiamka asubuhi bado unapumua tu, piga goti kabla hujafanya lolote na kumshukuru Muumba wako. Ni kwa neema tu tunadunda maana huyu mdudu hajari wewe ni nani na una mpunga kiasi gani bank.
daah yani hali ni tetee ,,Mungu atusaidie tuhuu mwaka mpaka uisheee tutakuwa nyakanyaka kwa kuvurugwa maana tunavurugwaa haswa mara hili mara ukikaa kidogo RIP huku yaaani...
Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.
Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.
Mch. Mitimingi anadaiwa alikuwa amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Nyie waunga dots Mungu awasaidie tu.
Huyu ndiye alikuwa mtu mwema achana na wale wahuni wenginedaah nilikuwa namkubali sana Mitimingi na semina zake
Hivi magonjwa mengine yamepumzika kuua watu? Au muhimbili ni kituo cha #covid19 siku hizi