TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

Thats how they ended up with Corona virus
2387913_IMG_20200503_122940.jpg
 
Jiwe atawamaliza watanzania nakuhakikishia. Koona na aliipatia pale Mikocheni kwa maza!
OMG. Duh basi Coronavirus haitaki kabisa kusikia wanaojidai kuwaambia wenzao wasiwe na Hofu. Kuna video moja YouTube ya Peter Mitimingi anasema ukiwa na Hofu ndo Coronavirus inakuua.

Sasa imekuwaje yeye asiyeogopa Corona imemuondoa ?
Mama Rwakatare nae hivyo hivyo aliikemea Coronavirus.
 
R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
Hadi kwenye misiba watu wanaleta stress zao. Enhe na wanaume mnaowaliza tusemeje?????
 
Kuishi ni Kristo, kufa ni faida.....

Zab 116:15 Ina thamani mbele za Bwana,/mauti ya wacha Mungu wake

Rest in the bossom of the Almighty God! U will be missed hasa ma jinsia ya KE! ULIWAFARIJI SANA
 
Back
Top Bottom