TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

Pole sana MGIRIKI,Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.R.I.P Baba!
 
Pole sana ndugu Mgirik mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
pole sana Mgirik Mungu akutie nguvu kipindi hichi kigumu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mgiriki kwa kufiwa na baba. Apumzike kwa Amani.
 
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi na awajaze faraja na matumaini katika kipindi hiki kigumu. pole sana mgiriki
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna sehem humndani zuko pamoja ni kwenye mcba naomba ww uliyeleta taarifa hii ya mcba weka na no ya mfiwa kwa maana ili tuweze kutuma rambirambi maana tunajuana hum ndani lkn njee mmm
 
Pole sana mkuu Mgirik
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake kwenmye makao salama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom