Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

huyu mtoto ni kahaba kama ambavyo makahaba wengine wa bongo movies walivyo! yaani utashangaa wengi wao wameachika au kuzaa bila mume, au kuwa vimada! shame on u ladies wa bongo movies, mnapenda sana kitonga! na mama lulu ndio kabisa sina cha kumwambia, siku yake inakuja atalia na kusaga meno!
 

I like this,wanadamu tumeshindwa kuelewa kuwa Mungu anaweza yote
 
Sijui michepuko ikipitia nyuzi kama hizi inajisikiaje!! Lakini itakuwa imekufa ganzi tu wala haijali mnajadili nini...michepuko ni laana tu popote ilipo.

Mkuu elli mchepuko unaliwaza vizuri ukijua wewe ni mtamu kma mcharo
 
Kama kumlilia Mungu itahusisha mume kufa, hata achepuke mara elfu sitakaa nimlilie.

Uji.nga mtupu, watoto wakose malezi ya baba yao kisa wivu wa mapenzi?? Si bora kutengana?! Women are wicked!

Hata urithi mali kiasi gani, kama huna dyudyu la pembeni yako bure kabisa, seuse ulilochuma nalo mali.

Kwa mwanamke anaye,furahia mumewe huwezi furahia kifo cha seky in the name ya kumkomoa lulu. Siku si nyingi lulu atamreplace marehemu na kitu labda kikali zaidi, keshazoea kuwa mchepuko.

Haya huyu mama aje apate replacement ni lini?
Na hata akimpata wataoana ili ku-replace status alokuwa nayo?

 
Wanawake tuna exaggrate cheating, it has been there, and always will be there, japo maumivu hayazoeleki.

Kuomba na kusali kunakupa courage ya 'ku buy time' hadi mume agombane na mchepuko wake, unless alikuwa anataka kuachana na mke, that's it.

 
Haka ka toto katakuja lizwa asisahau maisha yake na hii tabia yakuchukua waume za watu,mamake mzazi kama ana shindwa kumkanya mwanawe atakuja juta yakimkuta ya kumkuta..........
 
cacico kinachopendwa bongomovies ni shekeli na sivinginevyo kwakuwa wanapenda kuwa na highlife wakati vyanzo vya mapato ni finyu hivyo njia rahisi ni kutafuta wenye nazo bila kujali status zao kifamilia
 
Last edited by a moderator:
Hawa wasichana wa bongo movie kwanini wasiwaambie Hao mabilionea wao wawajengee nyumba badala ya kuwapangia nyumba sinza na mbezi beach.
 
hasipopata mrithi basi atarudi kwenye nyumba yake aliyejengewa na marehemu aliyepita.
Ngoja nikashtue Tusker Moja nitarudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…