TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

JK aliwakumbuka sana waandishi wa habari! lakini wanayomlipa mmh!
Marehemmu, Salla Dumba, Ahmed Kipozi, Bety Mkwasa, Shabani Kisu, na kuna mwingine nimemsahau mwenyeji wa maeneo ya Masasi kule Mtwara. Inawzekana wapo wengine ambao nimewasahau.
 
Kweli kabisa mkuu, alafu wapo wanaohangaika kwenye shuguri zao, na huwa wanawaza zana jinsi ya kufanikiisha shuhuri zao, hususani wafanya biashara..
 
RIP mama Sarah Dumba.

Ninamkumbuka sana huyu mama kwa utangazaji wake mahiri, enzi hizo alipokuwa RTD.
 

RIP Bi. Sarah Dumba, Mungu amekupenda zaidi.
Poleni Wafiwa na Wote Tulioguswa na Msiba huu.
 
RIP Dada Sarah Dumba.

Pasco
 

Watu wengine mna roho ngumu sana!!! Hapa members wanazungumza nini na wewe unatumbukiza nini - kwani uwezi kusubiri msiba ukaisha kwanza kabla ya kuandika maoni/malalamiko/kero zako.??

RIP Sarah Dumba.
 
RIP Mama Sarah Dumba.
 
Marehemmu, Salla Dumba, Ahmed Kipozi, Bety Mkwasa, Shabani Kisu, na kuna mwingine nimemsahau mwenyeji wa maeneo ya Masasi kule Mtwara. Inawzekana wapo wengine ambao nimewasahau.
Sallah= Sarah
 
Aiseee namkumbuka sana nikiwa halmashauri ya wilaya ya Kilindi, mungu amlaze pahala pema
 
Una uhakika kua amegota miaka 60?inawezekana wakati wewe upo shule yeye ana miaka 21,acha kashfa kwenye kifo,hata wewe unaweza kupata presha ukiwa kwenye kiti chako hapo ukaanguka ukafa na umri wako wa miaka 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…