TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Rip ........Sama wa ukweli .....Hii ndo dunia kila mtu anaishi kipande chake then anaondoka.
 
Kumbe ndo huyu small jobiso?!amekua
 
hata Mimi ukiniambia naumwa nini ntakujibu UKIMWI ila wa ulaya. hakuna mwenye ukimwi akajikubali 100%
 
Nzuri lakini ki brand na kibiashara haifai
 
Wanataka kusema ukimwi huo ni wa kutengeneza!

Ova
 
Sawa sawa mkuu, umenena vyema
 
hata Mimi ukiniambia naumwa nini ntakujibu UKIMWI ila wa ulaya. hakuna mwenye ukimwi akajikubali 100%
Chain aliyooacha nyuma ndiyo inayoniumiza kichwa, manake wanabadilishanaga tu kama mashati, wasanii wasipojiangalia watakufa sana, ukimwi upo na unaua jamani
 
Chain aliyooacha nyuma ndiyo inayoniumiza kichwa, manake wanabadilishanaga tu kama mashati, wasanii wasipojiangalia watakufa sana, ukimwi upo na unaua jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…