TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Rip ........Sama wa ukweli .....Hii ndo dunia kila mtu anaishi kipande chake then anaondoka.
 
Huyo Steve ni yule dogo aliacha darasa la 5 nadhani kwa sababu ya udancer alikua anajiita Jobiso akina Koffi na Defao walimdanganya wataondoka naye miaka hiyo so IQ ni mle mle hata ukimsikiliza,Mama yake aliondoka na huo huo naye alikua dancer na akina Black Moses enzi hizo alikua anajiita Janet Jackson ndio maana alikua muwazi kuutaja Ukimwi nadhan
Kumbe ndo huyu small jobiso?!amekua
 
hata Mimi ukiniambia naumwa nini ntakujibu UKIMWI ila wa ulaya. hakuna mwenye ukimwi akajikubali 100%
 
Alikujaga kupiga shoo huku kijijini kwetu,(sio mjini kivile), kesho yake tukasikia bado hajaondoka, tukatuma watu wamfuate ilesehemu aliyofikia, hakusema niko bize, au mimi msanii sitakiwi kuzagaa ovyo ovyo, alikuja tu fresh, tukapiga stori muda mrefu sana, akatugea na namba tukawa tunampigia. Ukitaka kupiga unawashtua washkaji, nataka kumpigia Sam, basi ukiongea kidogo unampa na mshikaji, Ongea na flani.. Fresh yani..
Nzuri lakini ki brand na kibiashara haifai
 
[HASHTAG]#BREAKING[/HASHTAG] Producer Steve aliekua akifanya kazi na Msanii wa BongoFLEVA Marehemu SAM WA UKWELI alietamba na “hata kwetu wapo” ameongea yafuatayo >>> “Sam alianza kuzidiwa toka J’mosi, tulipomuuliza anaumwa nini alisema UKIMWI lakini sio UKIMWI wa kawaida bali wa kulogwa’. () R.I.P SAM [emoji1545] [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]
Wanataka kusema ukimwi huo ni wa kutengeneza!

Ova
 
Huwezi kujua kuwa dunia Ina mambo mpaka likukute jambo

Maisha ni Safari ndefu sana na dunia Ina mengi sana......

Mshukuru Mungu kwa kila jambo.....

Jiweke mbali na kuwasemea watu na kuwahukumu Kwani wahusika ndio wanaoujua ukweli ambao wewe unauona nje......

DUNIA INA MAMBO NA HUWEZI KUJUA MPAKA LIKUKUTE JAMBO
Sawa sawa mkuu, umenena vyema
 
hata Mimi ukiniambia naumwa nini ntakujibu UKIMWI ila wa ulaya. hakuna mwenye ukimwi akajikubali 100%
Chain aliyooacha nyuma ndiyo inayoniumiza kichwa, manake wanabadilishanaga tu kama mashati, wasanii wasipojiangalia watakufa sana, ukimwi upo na unaua jamani
 
Chain aliyooacha nyuma ndiyo inayoniumiza kichwa, manake wanabadilishanaga tu kama mashati, wasanii wasipojiangalia watakufa sana, ukimwi upo na unaua jamani
 
Back
Top Bottom