TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Kwani alikuwa superstar mpaka aringe??sam alikuwa msanii
Alikua star kipindi hicho ila ujio wa simbaa ukampoteza yy na yule mchizi wa tanga top c.... ila sam hata kipind hicho yupo kwenye headline alikua poa tu ila ndio hivyo tusiseme mengi ati kisa ni marehem R.I.P
 
Ndio Mara ya kwanza nasikia kuna ukimwi wa kurogwa. Anyway R.I.P, tutakukumbuka sana kwa kibao chako kikali 'sina raha'
 
Kwa mujibu wa vyanzo vya Habari, msanii huyo alizidiwa usiku mida ya saa Sita akiwa studio na kukimbizwa hospital na baadaye akawa amepoteza maisha..

Taarifa zaidi zinakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…