TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Kwani alikuwa superstar mpaka aringe??sam alikuwa msanii
Alikua star kipindi hicho ila ujio wa simbaa ukampoteza yy na yule mchizi wa tanga top c.... ila sam hata kipind hicho yupo kwenye headline alikua poa tu ila ndio hivyo tusiseme mengi ati kisa ni marehem R.I.P
 
Kwa mujibu wa vyanzo vya Habari, msanii huyo alizidiwa usiku mida ya saa Sita akiwa studio na kukimbizwa hospital na baadaye akawa amepoteza maisha..

Taarifa zaidi zinakuja
 
Back
Top Bottom