KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mungu akuzidishie busara kwa kuliona hilo.....Mke wake wa kwanza tumesoma nae yule dada so ugonjwa wa huyu kaka naujua kidogo.
Sio busara nikiuongelea.
Kijana mwezetu keshatuacha tayari.....Eti ukimwi wa kurogwa jamani!!
Vijana wadogo wadogo tu ndio wanakufa inauma kweli
Si wanapenda kutembea na masuper star ,naona meneja kapoza joto eti ukimwi wa kurogwa ,binafsi naona ndio kapandisha presha watuAslay alikuwa anadate na mdada mmoja muathirika na alishafariki,patishia picha hapo kama anao na ndio alikuwa demu wake kitambo
Kati ya hao mademu uliowataja ni nani ana ngoma?Wasanii wana ngoma na vile wanajua kuzungukana sio mchezo *****.
Just imagine aslay katembea na wema na amber lulu na gigy money! Jamani jamani nimeogopa
Kweli yaani watalogwa sana yaaniSasa hivi kuna kitu kinaitwa test and treatment... yani unapimwa na ukikutwa nao unaanzishiwa ARVs kwa hiyo ni vyema wakaenda kupima na kuanza dawa mapema kuliko kuja kusema wamerogwa
kwa mfano kwa imani kama yako juu ya ARVs wengi watakufa kwa hofu ya kuzitumia...kwa hiyo mbadala ni kutumia nini? wanao kuanzishia wanakuwa wamesha kupima....kwa hiyo usiwe na wasi wasi Mama SabrinaLakin Arv mbaya sana zinafelisha figo
Huwezi kutwa na hiv hapo hapo uanzishiwe dawa za arv
Uwiiii sema unataniaAslay alikuwa anadate na mdada mmoja muathirika na alishafariki,patishia picha hapo kama anao na ndio alikuwa demu wake kitambo
Kwani humjui Mkuu?Kati ya hao mademu uliowataja ni nani ana ngoma?
Kama ni ukimwi wa kurogwa kwanini hakulikimbilia jina la Yesu KRISTO, jina lipitalo majina yote, jina liponyalo?Pia, aliyekuwa mtayarishaji wa nyimbo za Sam wa Ukweli, Steve amesema Sam alikuwa akiumwa na walipomuuliza alisema ni UKIMWI wa kulogwa.
Baadhi ya Video zake
Giggy money sidhani....Kwani humjui Mkuu?
Kwani watoto siku hizi wanazaliwa na ngoma Mkuu?Giggy money sidhani....
Labda Amber lulu maana hata prezzo mwili umepukutika kwelikweli....
Kwa wema sidhani maana watoto wa diamond aliozaa na zari wangekuwa nao....
Yaan kuna vituko jamanyaani " kwanza hata kama nikweli " waanzaje kusema hivyo...au ndio alikuwa kachanganyikiwa ....
Aise [emoji17][emoji17][emoji17] hivi kuna msanii mzima kweli?Aslay alikuwa anadate na mdada mmoja muathirika na alishafariki,patishia picha hapo kama anao na ndio alikuwa demu wake kitambo
Watumie tu lakin ni mbaya kama huli vyema pia ni shidaakwa mfano kwa imani kama yako juu ya ARVs wengi watakufa kwa hofu ya kuzitumia...kwa hiyo mbadala ni kutumia nini? wanao kuanzishia wanakuwa wamesha kupima....kwa hiyo usiwe na wasi wasi Mama Sabrina
SitaniiUwiiii sema unatania
Ukimwi huwa unaruka sehem zingine ingekuwa unaambukiza hivyo hakuna ambae angebaki salamaGiggy money sidhani....
Labda Amber lulu maana hata prezzo mwili umepukutika kwelikweli....
Kwa wema sidhani maana watoto wa diamond aliozaa na zari wangekuwa nao....
Yap labda hivyoAise [emoji17][emoji17][emoji17] hivi kuna msanii mzima kweli?
Ila huwezi jua labda alikuwa anatumia mipira so tusimhukumu kuwa anao....
Achalia hiyo hata the boss lady angekuwa nao na kwa jinsi alivyona jeuri ya fedha asingekusita kusema diamond anao....Kwani watoto siku hizi wanazaliwa na ngoma Mkuu?
Tujuze ili tuelimike..Mke wake wa kwanza tumesoma nae yule dada so ugonjwa wa huyu kaka naujua kidogo.
Sio busara nikiuongelea.