KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mungu akuzidishie busara kwa kuliona hilo.....Mke wake wa kwanza tumesoma nae yule dada so ugonjwa wa huyu kaka naujua kidogo.
Sio busara nikiuongelea.
Mimi nakuombea kwa Mungu uishi muda mrefu ili uzidi kuyaona na kujifunza ya dunia......