TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

RIP Mzee, mchango wako katika vyama vingi ni mkubwa sana.
Aliporwa madaraka na mzee wa madaraka Maalimu Seif.kwa laana ya Mzee Mapalala na Aboud Jumbe,maalim kawa mtu wa kutanganga''jangwani'' sasa kawa chini ya Zitto.
 
Cuf ni Hamad sio Mapalala wala Lipumba. Na ndio mana alipoondoka Mapalala chama hakikuyumba Lakini muondoka wa Hamad Cuf ndio mwisho wa CUF. Tayari imezikwa.
Udini ndio uliomuondoa Mapalala CUF. Waarabu wadini Sana
 
R.I.P Mzee James Mapalala... poleni wafiwa.
Fisiemu haijapata kupendwa wala kuungwa mkono na wenye akili
 
Pumzika kwa katika Udongo mzuri James Kabelo Mapalala heri, amani na raha ya Milele iwe nawe!
 
Nyerere alipiga sana virungu mawazo ya huyu mzee.

Alitiwa gerezani 1968, 1984, na 1986

Jakaya Kikwete, Rais mstaafu mzima, anasimama mbele za watu anasema Nyerere alikuwa hapigi virungu mawazo, wanatulisha historia feki mchana kweupe.

Apumzike kwa amani na baraka.
 
Wote hao wanyamwezi Shaban mloo mnyamwezi wa Zanziba kule kuna wanyamwezi wengi mmojawapo Ni huyo Shaban Mloo .,Mageni Mnyamwezi wa Tabora,Lipumba Mnyamwezi wa Tabora.
Huna unachoelewa kumhusu Musobi Mageni! Huyo Mzee alikuwa Msukuma wa Kwimba, binti yake Leticia aliolewa na mtoto wa JKN!
 
RIP baba wa mageuzi Tangulia nasi twaja lakini nina swali kwa wenyekujua Kwani mzee mapalala Yule mtangazaji pale RFA MWANZA Benady James ni mwanae mapalala?
 
Hawa ndo walikuwa wanamageuzi, R. I. P mzee wetu
 

Aliambiwa Kama anataka chama abadili dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…