TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

Jembe la Tabora hili mitaa ya Nzega - Pumzika pema kamanda chief na muasisi wa siasa za Upinzani Tanzania. Kinachouma zaidi ni kwamba wewe umeondoka na chama ulichokiasisi nacho kimeshaondoka - too sad.
 
Aliporwa madaraka na mzee wa madaraka Maalimu Seif.kwa laana ya Mzee Mapalala na Aboud Jumbe,maalim kawa mtu wa kutanganga''jangwani'' sasa kawa chini ya Zitto.

Hivi kwani Maalim Seif ndie aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF baada ya kuondoka kwa Mapalala?
 
RIP baba wa mageuzi Tangulia nasi twaja lakini nina swali kwa wenyekujua Kwani mzee mapalala Yule mtangazaji pale RFA MWANZA Benady James ni mwanae mapalala?
Hapana sio mtoto wake
Watoto wake wa mwisho ni wa kike
 
Sote tutarejea kwa Allah, tupo njiani tunapokezana vijiti "na wewe jiandae"
 
Acha kusema uwongo. CUF ilikua ni muungano wa vyama viwili vya Kamahuru na Civic Movement sas huyo Seif alikaribishwa wapi?
Sasa seif si ndio aliomba waungane
Mapalala km mwenyekiti alikubali
So angekataa ingekuwaje?
Kubali seif alikuja na lake lingine la tamaa na ubaguzi
 
Sasa seif si ndio aliomba waungane
Mapalala km mwenyekiti alikubali
So angekataa ingekuwaje?
Kubali seif alikuja na lake lingine la tamaa na ubaguzi

Na mapalala bila ya Seif asingekua na Chama.
 
Sasa seif si ndio aliomba waungane
Mapalala km mwenyekiti alikubali
So angekataa ingekuwaje?
Kubali seif alikuja na lake lingine la tamaa na ubaguzi

Mbaguzi ni wewe mkuu unaeishi kuchukia watu waliokua hawajakufanya kitu
 
RIP Mzee Mapalala.
 
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwenye amani milele yote. Amina.
 
Poleni sana familia yote kwa ujumla
Pole classmate wangu Bernard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…