TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

Mungu anajibu duniani
Maalim.kayabeba aliyotengeneza
Rip mzee WETU
Pole sana angle. N family
 
Hivi huyu ndiye mwenye CUF yake?
Huyu ndiye mwenye chama chake, maalim alipovuliwa gamba akatafuta kichaka cha kujificha, akaona heri aombe hifadhi kwa james ili asitoke kwenye ulingo wa siasa. Kwakuwa Seif anapenda madaraka akamletea zengwe marehemu na kumfukuza chama. Muosha huoshwa
 
Huyu mzee kwake tulikuwa tunamuibia sana ndizi kwenye migomba maana nyumbani kwake tulikuwa tunapaitaga shamba la mjini
Alafu@Pascal Mayalla hebu tuelezee kisa cha mzee mapalala na advocate maira

Ova
 
wanyamwezi na wasukuma(machifu) walitembeleana na kupeana mikakati ya kua na chama(UMD),wenye nchi waliwatia zengwe wakavurugana,ukute seif ni mtumishi wa wenye nchi,matokeo yake mangosha(tabora,shinyanga,mwanza) hawakuwa na chama kimoja,ile mikoa mitatu kwa wingi wao wanaweka rais wapendavyo,ndiyo mjomba moja ya kigezo cha kulikwaa dodo,natania tu,sipo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…