TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TBCCM inajiendesha kienyeji ni TV iliyokosa weledi mbinu mpya hawana watu wabunifu tena waliopo wamekuwa watumwa wa Lumumba wanafanya kazi kwa zidumu fikra za polepole ni Aibu chombo kikubwa cha kitaifa kufanya kazi kwa zidumu fikra za mtu binafsi
 
inasemekana hata marehemu marin hassan nae walificha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watatu.
 
nasikia ni corona...,je kuna ukweli juu ya hili??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.

kwani kuna alikuwa ni mgonjwa?[emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️

hii corona mbona ni shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

kwahiyo tbc ni mvurugano...,corona imetapakaa ryoba atakuwa ameepuka hiki kikombe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
CCM bado wanazani watanzania ni wajinga kama wao hawajui kuwa watanzania wana Akili zaidi yao na wanajua sinema zote zinazofanywa na CCM
 
Mkuu Magonjwa ushaishi Trondheim? Victoire alishaishi pia mimi nilishigi huko ndio maana nikamshtua Trondheim hali tete. Alishangaa siku moja jamvini 2013 nikimtajia watu hapo.

Ngoja niwndelee na ashish yangu ya Afghanistan
Sweden wao wameamua kutokulock down nchi,watu wanaambukizana tu.Kwa nini umebadili ID?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…