TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Teh haya havidhuru weusi

Sinema la kutisha lmeanza

Mzee yupo zake chato hana habari, [emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nilianza kudhania havidhuru weusi huku nikijiambia kibaiolojia mzungu ,mweusi tupo sawa.Kumbe weusi hawakuwa exposed tu.USA weusi ndo wanaongoka kufa kwa sababu ya huyu kirusi.
 
Kuna 'mtu maalumu' wa kutoa taarifaza hivi, hasa kwa kipindi hiki cha HUU UGONJWA... ya Dr. Mwele yamewatia HOFU wengi
 
Best umebadili jina?Vipi Denmark hakuna cases?
Mods walinipiga ban ya mwezi kwe id yangu ya jon Stephano itakuwa lifted on 30th. Hapa ipo besti yani hadi kazini tumepewa lay offs ya mwezi na wanaweza kuextend hadi midsummer.

Cha kuhuzunisha imeingia hadi carehome za wazee huko itatafuna sana so vulnerable.

Ila hali itakuwa mbaya na wataalamu wameshajua ila hawapo wawazi watu watakufa sana kwasababu wameshaerect faster temporary morgues mortuaries nne ndani ya wiki.

Mimi kwenye keyboard nafanyia mzaha ila in real life i take this KoronaViruus seriously. Hii ni siku ya kumi sijatoka am very cautious like a snake. Kuvuta navuta sana na sisi tuko kwenye highrisk
 
Party gani hiyo
 
Too sad ujinga ni mzigo. Unajua nini Kirus haonekani kwa macho hivyo walipuuzia, wanapuuzia. Ngoja wiki mbili zijazo tutatafutana.
Na wewe lazima uondoke nacho naona unashangilia kama ....
 
Sweden wao wameamua kutokulock down hnchi,watu wanaambukizana tu.Kwa nini umebadili ID?
Tayari Sweden wameshapanic. Waziri wao mkuu juzi kashatabiri maelfu watakufa. Huu ugonjwa siyo wakufanyia mzaha kabisa. Hata ukikupata ukapona damage still itakuwa kubwa. Nilisimuliwa na rafiki yangu kwenye simu aliambukizwa kwenye Kareoki klabu kabla ya lock down maumivu aliyopitia kabla ya kupona balaa nikama unachomwa na vipini.

Kuna super spreader alitoka nao swiss alps akawaambukiza 39
 
MKUU TUANDIKIE URITHI WASIPATE SHIDA KAMA UMECHOJOA KAMWANA AHUKO AMA UNA KAGARI NA KAJUMBA CHA URITHI ALARM PLS
 
MKUU TUANDIKIE URITHI WASIPATE SHIDA KAMA UMECHOJOA KAMWANA AHUKO AMA UNA KAGARI NA KAJUMBA CHA URITHI ALARM PLS
Mkuu diddy mbona urithi bilishaandikaga zamani kabla ya kovidi nikifa nitajizika mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…