TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari. Hawakushangaa kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.
Kuna mkuu kauliza party gani ilikua wapi ?
 
Covid - 19 ni balaa, hakuna dawa hivyo tujikinge ili usisambae

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You


Source : Duc C. Vuong
 
R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
Tulisema Marehemu aliondoka na corona hivyo tahadhari zichukuliwe mapema, UVCCM wakatubishia sana humu. Haya mambo ya serikali kuficha wagonjwa wa COVID-19 yatatugharimu mno mno.
 
Hili ni sinema la kutisha hasa huko dunia ya tatu

Tedros hakua kichaa kuongea vile [emoji19]....

Nmeskia magu anawaambia tunategemewa hvi us au china inategemewa na nchi ngapi

Maambukizi yazuiwe mapema kma hpo weka quarantaine wafnyakazi wte wa tbc hpo dsm na family zao

Anyway utakapompiga kiongozi mmoja ndo akili ztakaa sawa
Hata mimi nilianza kudhania havidhuru weusi huku nikijiambia kibaiolojia mzungu ,mweusi tupo sawa.Kumbe weusi hawakuwa exposed tu.USA weusi ndo wanaongoka kufa kwa sababu ya huyu kirusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu tu sijui kwa kweli
Huu ni uzembe wa wizara ya Afya
Jeshi ndio watafuata maana gwaride la Muungano linachapwa mwanzo mwisho
 
duuu! nimecheka utadhani mazuri, hizi fasihi hizi......![emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too sad ujinga ni mzigo. Unajua nini Kirus haonekani kwa macho hivyo walipuuzia, wanapuuzia. Ngoja wiki mbili zijazo tutatafutana.
Wiki 2 ndio maximum incubation period ya corona virus. Kila individual kufuatana na hali yake kiafya, na mazingira ata react tofauti kufikia kuanza kuugua, that means siyo lazima kufika wiki 2. Vilevile, kuna wanaoweza kuambukizwa na kupona bila kuugua.
 
Yani kama ni Mloganzila hii ni yenyewe tuuhh.... Harakaharaka watu waliokua karibu naye wakamatwe wafungiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…