TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Nimejikuta pressure imepanda baada ya kusoma hii post.
 
Mwili wa marehemu Marini Hassan ulisafirishwa kwa ndege ya viongozi.
Sasa yapo yakujiuliza na kuchukua tahadhari:
1.Uzinduzi wa kipindi kipya TBC,orodha ya wote walioingia studio wapimwe.
2.Waliosindikiza mwili wa marehemu wajulikane na wapimwe.
3.Viongozi waliopanda ndege ya viongozi baada ya kutoka Zanzibar wapimwe.
4.Watangazaji na wote walioendesha kipindi wapimwe.
5.Taasisi nzima wapimwe,au mgeni kabla ya kuhojiwa studio apimwe ili kuwa na tahadhari
6.Kama kuna viongozi wowote walifanya mahojiano na watumishi wa TBC,wapimwe au waende 'karantini'
7.Zoezi la upimaji lifanyike kwenye maeneo yenye mwingiliano wa watu wengi,na tupewe sasa Taarifa wananchi wangapi wamepimwa.
8.Viongozi wa siasa waache wataalamu wa afya wafanye kazi,Huu sio muda wa kutengeneza kiki.
9.TUSIOGOPE TAKWIMU ZETU(itakayopatikana isomwe).
10.Tahadhari ya kunawa mikono,somo limeeleweka,wananchi wapewe mbinu zingine kama
machapisho yenye kuulezea namna na mbinu za kupambana na gonjwa hili.
11.Tuseme ukweli,kama marehemu yoyote alipanda basi au chombo cha usafiri "route" fulani,maana yake hiyo 'route' itakuwa tayari inamaambukizi.
Huo ni mtizamo wangu
 
Mbele yake, Nyuma yetu.

Poleni sana wana TBC
 
TBC ebu kaeni karantini jamani msieneneze hilo gonjwa mitaani,waziri wa afya ebu wawekeni karantini wafanyakazi wa TBC wote na watu waliokuwa nao karibu kifamilia kuepusha majanga zaidi.
 
TBC ebu kaeni karantini jamani msieneneze hilo gonjwa mitaani,waziri wa afya ebu wawekeni karantini wafanyakazi wa TBC wote na watu waliokuwa nao karibu kifamilia kuepusha majanga zaidi.
Umeshaenea. Tunakula nao,tunashare social aspects nyingi.
Usafiri,NK.
 
Hiyo ndo Coronavirus haina mchezo ,inakula celi za kwenye mapafu,alveolis zinajaa maji,no oxygen mwisho wake ni kifo.Huo ndo ukweli ingawa uanauma.Tuchukue tahadhari.
Hivi kwanini huwa hunifundishi?
 
Too sad ujinga ni mzigo. Unajua nini Kirus haonekani kwa macho hivyo walipuuzia, wanapuuzia. Ngoja wiki mbili zijazo tutatafutana.
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
Tunatabia ya kudharau mambo na hasa tukiwa kwenye mamlaka sasa inaanza kutugharimu
Akili za watu sasa hivi ni kwamba ili kuonyesha una muunga mkono rais basi unapaswa kuipuuzilia mbali Corona, ukiipa uzito utaonekana wewe ni msaliti.
Acha waendelee kuishangilia.
 
CCM mtatumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Mzee si urudi tu bongo unywe Mbege
 
Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari. Hawakushangaa kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.
leo serikali ya CCM imekuwa vilaza watanzania hamma shukurani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau hata DAUD aliongea kwa mbwembwe kisa mtoto wa mpinzani wake kisiasa anaumwa corona? Akamtaja hadharani wakati kisheria hairuhusiwi? Kwahiyo hawa usiwashangae ndio maisha yao waliochagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…